Ramadhani Kayoko ni refa mwenye kiwango cha chini mno, hafai kuchezesha mechi kubwa na zenye presha

Ramadhani Kayoko ni refa mwenye kiwango cha chini mno, hafai kuchezesha mechi kubwa na zenye presha

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
1. HAJIAMINI
anakera sana kitendo chake cha kutoa kadi za njano bila mpangilio ili kupunguza makali ya wachezaji hata kama rafu iliyochezwa haistahili adhabu hiyo,shida inakuja pale mchezaji husika anapocheza rafu inayohitaji hiyo adhabu anakuwa hana la kufanya maana anajua kinachofata ni red,na anaogopa kuitoa.

2. ANAONGEA SANA KULIKO VITENDO
Hili toto linapoona limeshayatindinganya kwa kutoa mikadi isiyo na maana ndipo anapoanza kutumia domo lake baada ya kuendeleza vitendo,inaonekana ili atoe redcard mpaka mtu atoke damu.

3. HAFUATI SHERIA ZA SOKA
Hivi katika mechi za derby sheria za soka zinabadilika? Maana nashangaa kwanini anapenda kubalance mchezo na sheria kuziweka kapuni.

Jana angechezesha refa wa nje anayefuata sheria vema kulikuwa na redcard zisizopungua 3 kwa pande zote mbili, moja wapo ikiwa ya faysal, djuma shaban na mkude, lakini cha ajabu huyu mkude hata njano hakupewa,

NB: ANACHEZESHA KAMA MECHI ZA USWAHILINI, HAKUNA KUTOA PENATI DAKIKA ZA MWISHO, UKITOA REDCARD BASI UTOE PANDE ZOTE, UKIFANYA MAAMUZI TOFAUTI NA HAYO MPIRA HAUISHI.

POOR KAYOKO!
 
Refa sio mbaya wala lutoa kadi hilo ni jukumu la refa mimi nadhani kwa kiasi kikubwa sio mbaya ila kuna vitu vya kujifunza kuna kitu sikumuelewa tu mpira umeisha anakumbumbatiana na wachezaji na kupiga story na Mayele sijui hili inabidi alifanyie kazi yeye ni refa sheria mechi ikimalizika anasimama na wasaidizi wake wanaondoka kwa heshima kama maongezi ni huko ndani sio uwanjani ilaleta twasira mbaya na kinyume na sheria za waamuzi. Mambo madogo nadhani atajifunza au ataambiwa kujirekebisha lakini sio refa mbaya na kajitahidi.
 
Nasisitiza kamati ya massa sabini nambili bila kuchelewa imwazibu Chama Kwa kitendo Cha kumkanyaga Aucho bila mpira (unsports man faul) na Ili ni tukio la tatu katika Dabi anafanya Kwa maksudi na hajawahi kuchukuliwa hatua. Bodi ya Ligi kupitia kamati ya massa sabini nambili ichukue hatua haraka.
 
Ifungulie thread ili iwe na msisitizo zaidi
 
Kayoko.amekuwa mbaya baada ya kuwalabisha kadi tano wacheza judo wa makolo,faini inawahusu.
 
Nasisitiza kamati ya massa sabini nambili bila kuchelewa imwazibu Chama Kwa kitendo Cha kumkanyaga Aucho bila mpira (unsports man faul) na Ili ni tukio la tatu katika Dabi anafanya Kwa maksudi na hajawahi kuchukuliwa hatua. Bodi ya Ligi kupitia kamati ya massa sabini nambili ichukue hatua haraka.
Aucho alimkanyaga Okrah bila mpira na hakupewa hata kadi
 
Makolo bana, kwa hiyo mpaka refa haponi leo...yeye ndio alimnyima okra kutoa pasi
 
1. HAJIAMINI
1666598378875.png
 
Tanzania hakuna marefa wanaweza kuchezesha mpira katika viwango vya kimataifa..ndio maana hizi local leage zinaongozwa na timu mbovu kwasababu emetokana na mareba wabovu..ndio maana hazina viwango vya kucheza league bora za huko Duniani..Simba ni timu yenye viwango vya juu mno na inatakiwa iwapate mareva wa viwango vya juu wanaelewa ubora wa mpira ambao Simba inacheza.

Sasa kama refa ni yule wa jana kama dr.wa mifugo unategemea nini?
 
Umeanza vizuri ila umemaliza kama vile kuku kichaaa asiye na kichwa.
 
Tukio la dickson job kuunawa mpira uliotoka kwa mzamiru kwenda kwa kyombo lilistahili kadi ila dogo alichuna, faisal anamzuia kyombo asitekeleze shambulizi ilikuwa ni kadi ya pili ya njano kwa faisal ila akachuna
 
Simba acheni bangi. Hao wanaoweza walijikuta tu ghafla wanaweza kuchezesha mechi kubwa?
 
Uliyeleta hii mada hujamuona refa aliyechezesha Singida Big Stars Vs Ihefu Leo.
 
Nasisitiza kamati ya massa sabini nambili bila kuchelewa imwazibu Chama Kwa kitendo Cha kumkanyaga Aucho bila mpira (unsports man faul) na Ili ni tukio la tatu katika Dabi anafanya Kwa maksudi na hajawahi kuchukuliwa hatua. Bodi ya Ligi kupitia kamati ya massa sabini nambili ichukue hatua haraka.
Alafu ndio nini akishafungiwa?
 
Back
Top Bottom