Baadhi ya waliopandishwa toka Golden Generation hadi 1st eleven ya Mnyama ni hawa hapa chini.. Na timu zao wanazocheza kwa sasa katika VPL.
1. Hassan Isihaka - Simba S.C
2. Jonas Mkude - Simba S.C
3. Said Ndemla - Simba S.C
4. Ibrahim Ajibu - Simba S.C
5. Edward Christopher - Toto African
6. William Lucian - Ndanda F.C
7. Haruna Chanongo - Stand United
8. Ramadhan Singano - Azam
9. Miraji Athuman - Toto African
10. Abuu Hashimu - Kagera Sugar
11. Ramadhan Kipalamoto - Abajalo F.C
Ambao walitua Simba B, Golden Generation ikiwa inaishia ishia.. Na timu zao wanazocheza kwa sasa katika VPL.
1. Manyika Jr - Simba S.C
2. Said Issa - Simba S.C
3. Boniphace Maganga - Simba S.C
4. Mubarak Yusuph "Boban" - Kagera Sugar kwa Mkopo
5. Rahim Juma Abdallah Kibaden "zenden" - African Sports
Ukitaka kujua wamefanya nini tangu walipohitimu Simba B... Wanafanya nini hivi sasa.. Mchango wao katika soka la Tanzania.. Je ni wangapi wapo national timu.. Mnaweza mkapitia
https://www.google.co.tz/
Nakala:
Frank Wanjiru MKALIKENYA