Ramadhani na Christmas tunakula na kusherekea pamoja, halafu anatokea mlugaluga anataka tubaguane na kuuana

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa.

Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye uhuru wa kuchagua na kuishi, mke na mume wanweza kuwa wa dini tofauti na hata mmoja akibadili dini kwa ajili ya ndoa, haivunji uhusiano wake na familia yake, bado watamuona ni mtto wao, kaka, dada, n.k.

Hata makazini, mitaani, vyuoni tuna marafiki wengi wa dini tofauti lakini sisi ni watanzania, tunaheshimiana, tunashirikiana, tunazikana, tunafarjiana, n.k.

Sasa kuna hawa walugaluga wameleta upumbavu wa kuchochea chuki, wanataka watu waanze kupigana kwa ajili ya dini! so kupigana tu hadi kukatana vichwa.

Watu wameshakuwa na mahusiano mazuri, wanashirikiana, wanapendana, lakini sasa wao wanakuja na mbegu za chuki.

Watu wanahitaji kuwa na mshikamano, siyo kudharauliana. Walugaluga wanataka kuendeleza uharibifu, mgawanyo na watafanya kila anachoweza kuhakikisha Tanzania yetu inakuwa mahali pa chuki na uhasama. Lakini sisi tutasimama dhidi ya hiyo na kuonyesha dunia kwamba sisi ni zaidi ya hayo.
 
1763664876841.jpeg
... There's no first class citizens and lower class citizens!
TUHESHIMIANE KWANZA!
 
Hii agenda yao ya ovyo tushaikataa, tushaiua na tushaizika. AKBIIR! MWANAKONDOO AMESHINDA!
 
Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa.

Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye uhuru wa kuchagua na kuishi, mke na mume wanweza kuwa wa dini tofauti na hata mmoja akibadili dini kwa ajili ya ndoa, haivunji uhusiano wake na familia yake, bado watamuona ni mtto wao, kaka, dada, n.k.

Hata makazini, mitaani, vyuoni tuna marafiki wengi wa dini tofauti lakini sisi ni watanzania, tunaheshimiana, tunashirikiana, tunazikana, tunafarjiana, n.k.

Sasa kuna hawa walugaluga wameleta upumbavu wa kuchochea chuki, wanataka watu waanze kupigana kwa ajili ya dini! so kupigana tu hadi kukatana vichwa.

Watu wameshakuwa na mahusiano mazuri, wanashirikiana, wanapendana, lakini sasa wao wanakuja na mbegu za chuki.

Watu wanahitaji kuwa na mshikamano, siyo kudharauliana. Walugaluga wanataka kuendeleza uharibifu, mgawanyo na watafanya kila anachoweza kuhakikisha Tanzania yetu inakuwa mahali pa chuki na uhasama. Lakini sisi tutasimama dhidi ya hiyo na kuonyesha dunia kwamba sisi ni zaidi ya hayo.
TEC Ina mchango mkubwa kwenye hii tafrani!
Watu wanahangaika na FALLOUT!
 
Back
Top Bottom