Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipaswa kumlipa inavyostahili ndio muanze kumlaumuWazee tulimkanya hakutusikia.. Sasa acha dunia imfunze.
unajua heshima ya mchezaji ni ipi ukiachana na kulipwa vizuri?Sielewi mpaka sasa hivi mnasema Singano kapotea kwa utafiti upi
Sielewi mpaka sasa hivi mnasema Singano kapotea kwa utafiti upi[/QUOTE
Utafiti??my foot ili nalo linahitaji utafiti?
Yebo yebo utawajua tuu maoni yao yalivyo! hapo kinaangaliwa kiwango cha mchezaji kufa sio timu aliyoenda mbona tambwe hajuzungumziwa hapa na Simba tunajirahumu kosa tulilolifanya kumwacha huru! mda mwingine hacha yale mambo yanayofanyika pale bonde la mpunga la jangwaniHivi kwanini mashabiki wa mchangani mnamlaumu Rama kuondoka wakati mlikua mnamlipa hela mbuzi?
Madai yake hamtimizi,sahii mnafoji.
Bado awapende tu?
Yeye ni Yesu?
Ups and down kwa mchezaji yeyote zipo.
Ipo siku mnaomkebehi Rama,mtamwamkia kwa heshima.
Either mtamuheshimu yeye au mtaheshimu kiwango chake
Unahitaji utafiti kwa hili? Subiri waje watafiti, ila mimi ninaona tu kwa macho (observation)Sielewi mpaka sasa hivi mnasema Singano kapotea kwa utafiti upi
Wengi wa wachangiaji mnaliangalia swala la Mesi kwa upande mmoja, kwamba amerubuniwa na akakubali kuwacha mbachawe kwa masala upitao. Ili kumtendea haki yeye na uzi huu, ni vyema tukaangalia pia upande wa pili wa kadhia yake: kwamba alighushiwa saini kwenye mkataba wake ili aongeze mwaka mmoja zaidi. Tunas aha kwamba Simba walikataa suluhu eti kwa sababu aliongea na waandishi wa habari. Ni vyema kuijadili hoja yake kwa kuangalia pande zote mbili.Huyu dogo alikua ni mpuuzi kuhama simba na ategemee kurudi ligi za mchangani
Hiyo kesi hakushinda Bali kilichompa ushindi no simbabkuvunja mkataba kwa kutompa nyumba ya kuishi nadhani namalipo Fulani walikuwa hawamlipi...Wengi wa wachangiaji mnaliangalia swala la Mesi kwa upande mmoja, kwamba amerubuniwa na akakubali kuwacha mbachawe kwa masala upitao. Ili kumtendea haki yeye na uzi huu, ni vyema tukaangalia pia upande wa pili wa kadhia yake: kwamba alighushiwa saini kwenye mkataba wake ili aongeze mwaka mmoja zaidi. Tunas aha kwamba Simba walikataa suluhu eti kwa sababu aliongea na waandishi wa habari. Ni vyema kuijadili hoja yake kwa kuangalia pande zote mbili.
Uvumilivu, sawa. Shaffih Dauda, sawa. Kipaji, sawa. Lakini je, inavumilika kulelewa kipaji chako kwa kudhulumiwa, hata kama Shaffih Dauda akikaa kimya?
Sawa, hoja yangu kuu ni kwamba tusijadili swala hili kwa kutizama kasoro za Messi peke yake, tujadili huku tukiangalia pia na sababu zilizochaniga yeye kuhama Simba.Hiyo kesi hakushinda Bali kilichompa ushindi no simbabkuvunja mkataba kwa kutompa nyumba ya kuishi nadhani namalipo Fulani walikuwa hawamlipi...
Ni simba kutotimiza mashariti ya mkataba huku Mesi akijiona nibmmoja yavwachezaji wakubwa ndani ya simba na simba wakimuona nibmchezaji wa kawaida....Kuahidiwa pesa nzuri ndani ya Azam FC..Magazeti na akina shaffi Dauda...Sawa, hoja yangu kuu ni kwamba tusijadili swala hili kwa kutizama kasoro za Messi peke yake, tujadili huku tukiangalia pia na sababu zilizochaniga yeye kuhama Simba.
Naam! Hapo sasa ndio mwanzo hasa wa mjadala wenyewe. Bila ya shaka pande zote mbili zina mchango kwa yanayomtokezea Singano hivi sasa. Maswala ya msingi kujiuliza ni (1) Baina ya uhaba wa fedha na mkataba tata alipokuwa Simba ingawa kiwango/kipaji chake kilionekana na wingi wa fedha na mkataba anaouridhi hivi sasa Azam ingawa kipaji/kiwango chake hakionekani, ipi ni hali bora zaidi! (2) Nini mchango wa kila upande (Messi na Simba) katika hali hii ya sasa ya Messi (yaani ni nani wa kulaumiwa?).Ni simba kutotimiza mashariti ya mkataba huku Mesi akijiona nibmmoja yavwachezaji wakubwa ndani ya simba na simba wakimuona nibmchezaji wa kawaida....Kuahidiwa pesa nzuri ndani ya Azam FC..Magazeti na akina shaffi Dauda...