Huyu kijana alikuwa na kipaji kizuri cha mpira. Akahamia azam ambako lengo lake nadhan lilikuwa ni ili akakuze kipaji.
Labda kwa anayefaham atupe takwimu toka ahamie azam huyu mchezaji ameweza kuendeleza kipaji chake?hata leo kwa hii mechi sijamwona bado.
Makocha wa kizungu bwana, kocha wa Azam alisema jamaa ana umbo dogo hivyo hawezi fit kwenye first eleven.. Dogo bwana angevumulia simba angekuwa star saana na maisha yange badilika kabisaaaa..