Ramadhani Singano nani anambania namba Azam?

Ramadhani Singano nani anambania namba Azam?

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Huyu kijana alikuwa na kipaji kizuri cha mpira. Akahamia azam ambako lengo lake nadhan lilikuwa ni ili akakuze kipaji.
Labda kwa anayefaham atupe takwimu toka ahamie azam huyu mchezaji ameweza kuendeleza kipaji chake?hata leo kwa hii mechi sijamwona bado.
 
Naona kocha amenisikia ameaua kumuingiza ramdhan singano katika mechi hii ya Azam Vs Simba. Leo tarehe 17/09/16
 
Hana akili timamu, atakula jeuri yake, msimu unaokuja atatemwa rasmi azamu akacheze ndondo huko songea!
 
Makocha wa kizungu bwana, kocha wa Azam alisema jamaa ana umbo dogo hivyo hawezi fit kwenye first eleven.. Dogo bwana angevumulia simba angekuwa star saana na maisha yange badilika kabisaaaa..
 
Back
Top Bottom