TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

Kafara tayari
Kafara ni lazima awe mtu wa karibu na klabu kwa wakati hu, mfano Ally Kamwe alivyozimia akarudishwa. Kafara haiwezi kuwa kwa mchezaji mstaafu asiye na mchango wowote kwa wakati huo
 
Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---

Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.

Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
Huyu kacheza na akina Matola hawezi kuwa na umri wa miaka 39 tu. Labda ungeweka 49.
 
Back
Top Bottom