Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Choo cha master kingeunginishwa baada ya cha public ili master iwe na madirisha 2 makubwa. Hiyo itasaidia mlango wa master usogee usitazamane na mlango wa hiko chumba kingineWaungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.
Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?
Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA
Asanteni
View attachment 2619495
Mlango wa chumba cha master kutazamana na mlango wa chumba kingine sio sahihi, ukihitaji ramani zilizochorwa kitaalam tuwasiliane ndgWaungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.
Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?
Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA
Asanteni
View attachment 2619495
mkuu nitumie pm kama una floor kama izo nataka raman ya vyumb vi3 kimoja kiwe master chapili kiwe na choo chake ndan kwa ajili ya watt wakike wasitumie cha publicMlango wa chumba cha master kutazamana na mlango wa chumba kingine sio sahihi, ukihitaji ramani zilizochorwa kitaalam tuwasiliane ndg
Ninazo ramani nyingi, kikubwa tuwasiliane tu. Ninayo hiyo ya 3 bedrooms yenye master 1, self room 1, na 1 normal.mkuu nitumie pm kama una floor kama izo nataka raman ya vyumb vi3 kimoja kiwe master chapili kiwe na choo chake ndan kwa ajili ya watt wakike wasitumie cha public
Eti madai yao Wanaogopa kuweka vipimo watakuwa wamegawa ramani bureMbona ramani zenu hazina vipimo? Vipimo vitasaidia kukadiria. Asanteni
Na wanasahau kuwa mzoefu akiipata ramani kama hiyo kuweka vipimo kulingana na ukubwa wa kiwanja au kuweka vipimo standard au hata kuiedit hashindwiEti madai yao Wanaogopa kuweka vipimo watakuwa wamegawa ramani bure
Naitaji raman ya vyumba 3, kimoja kiwe master bedroom, pia kuwe na jiko, sebule na public toilet
Ramani ya ajabu hii! How comes movements za vyumbani lazima zipitie mbele ya mlango wa master? Privacy ya master iko wapi? Master inataikiwa ijitenge; if possible, nobody should know your whereabouts; upo, haupo only your wife knows unless you showup yourself.Na hii pia View attachment 2619502
Hii imekosekana store, kama ni mimi chumba cha karibu na jiko nasogeza kushoto naua choo kokae. kulia iwe store karibu na jikoni. Kwa nyumba ya kupangisha mjini mtu ana watoto wanasoma shule ya msingi/vidudu choo 1 kinatoshaNa hii pia View attachment 2619502
Nilikuwa natafuta ramani ya nyumba size ya kati nikaangukia kwa mzee kanichorea banglow. Ningeiona hii mapema ningempatia aiweke vipimo. Ramani iko na features zinazofaa za mifumo ya maji na usalama, kwenye ujenzi ningehakikisha naboresha choo cha public ili harufu ya choo hairudi sebuleniWaungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.
Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?
Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA
Asanteni
View attachment 2619495
Waungwana mambo vipi?