Ramani hii itatosha kiwanja cha 280 SQM?

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,670
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.

Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?

Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA

Asanteni
Screenshot_20230512-215938_Gallery.jpg
 
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.

Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?

Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA

Asanteni
View attachment 2619495
Choo cha master kingeunginishwa baada ya cha public ili master iwe na madirisha 2 makubwa. Hiyo itasaidia mlango wa master usogee usitazamane na mlango wa hiko chumba kingine
 
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.

Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?

Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA

Asanteni
View attachment 2619495
Mlango wa chumba cha master kutazamana na mlango wa chumba kingine sio sahihi, ukihitaji ramani zilizochorwa kitaalam tuwasiliane ndg
 
mkuu nitumie pm kama una floor kama izo nataka raman ya vyumb vi3 kimoja kiwe master chapili kiwe na choo chake ndan kwa ajili ya watt wakike wasitumie cha public
 
Ninazo ramani nyingi, kikubwa tuwasiliane tu. Ninayo hiyo ya 3 bedrooms yenye master 1, self room 1, na 1 normal.
 
Itatosha ila hapo sehemu ya parking au watoto kucheza,kuanika mahindi,pumba,unga,senene na sehemu ya kufulia au kupata kamti kakivuli,hiyo sehemu hutakuwa nayo
 
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.

Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?

Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA

Asanteni
View attachment 2619495
Nilikuwa natafuta ramani ya nyumba size ya kati nikaangukia kwa mzee kanichorea banglow. Ningeiona hii mapema ningempatia aiweke vipimo. Ramani iko na features zinazofaa za mifumo ya maji na usalama, kwenye ujenzi ningehakikisha naboresha choo cha public ili harufu ya choo hairudi sebuleni
 
Vipimo mbona v
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.

Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?

Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA- MAINA

Asanteni
View attachment 2619495

mbona hujaweka vipimo? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom