Ramani kali ya nyumba toleo jipya

Architects wa UDOM shida huwa nin? Unakuja na idea ambayo hata fundi michael anaweza kuitoa
Mimi sio Architect bali ni fundi wa kawaida tu, kwani sisi mafundi hatuna haki ya kutoa idea zetu humu. Kama hatuna haki basi panakua hapana maana ya kuwepo mitandao.
 
hahahahha, subiri akanyie ndoo
Watanzania mwache ushamba ulaya mawazo kama haya hayapo mkuu. Hapa duniani unaweza kufanya lolote ambalo unaliweza, acha kuogopa ogopa. Nimekaa ulaya sijawai kutana mawazo ya kishamba kama haya.
 
Iyo paa inakula bati za kutosha.
Embe weka ramani au picha ya nyumba za gharama nafuu vyumba viwili sebule choo kimoja cha ndani na jiko?
EllySkyWilly
Na huo ndo ujenzi wa kisasa, mtu unaweka ramani ya Ofisi za Halmashauri unasema ni nyumba ya kuishi? Nyumba ina chumba cha kulala baba na mama, chumba cha watoto wakubwa wa kiume, cha watoto wadogo wa kiume, cha watoto wadogo wa kike, cha watoto wadogo wa kike, seble, dinning room, chumba cha maongezi, chumba cha kusomea, jiko, store, choo na bafu 3, chumba cha wageni.
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…