NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hakika ulichosema na ndivyo inatakiwa nyumba iwe ivyo.Na huo ndo ujenzi wa kisasa, mtu unaweka ramani ya Ofisi za Halmashauri unasema ni nyumba ya kuishi? Nyumba ina chumba cha kulala baba na mama, chumba cha watoto wakubwa wa kiume, cha watoto wadogo wa kiume, cha watoto wadogo wa kike, cha watoto wadogo wa kike, seble, dinning room, chumba cha maongezi, chumba cha kusomea, jiko, store, choo na bafu 3, chumba cha wageni.
Duh!
Ila kwa sisi makapuku wengi uko ni mbali sana mkuu.
Mtu anapambana apate angalau vyumba viwili vya kuficha watoto wake wasipigwe na jua,mvua,baridi.choo kinakuwa nje.
mambo ya master room,dining,kitchen n,k ni"jitihada aishindi kudra"