Ramani kali ya nyumba toleo jipya

Hakika ulichosema na ndivyo inatakiwa nyumba iwe ivyo.
Ila kwa sisi makapuku wengi uko ni mbali sana mkuu.
Mtu anapambana apate angalau vyumba viwili vya kuficha watoto wake wasipigwe na jua,mvua,baridi.choo kinakuwa nje.
mambo ya master room,dining,kitchen n,k ni"jitihada aishindi kudra"
 
hahahaaaa,
 
Ya kuchora ramani na kuzitangaza kwenye mitandao, hunajua sheria na kanuni za bodi ya wasanifu na wakadiriaji majenzi zinakataza hiki unachokifanya?[emoji28][emoji28]
Mkuu mimi wala sijui hao watu, mimi natumia nguvu yangu, muda wangu na uwezo wangu. Hao jamaa wangelikua wa maana basi nadhani wangejikita zaidi kutafutia ajira magraduate wao tu.
 
Watanzania mwache ushamba ulaya mawazo kama haya hayapo mkuu. Hapa duniani unaweza kufanya lolote ambalo unaliweza, acha kuogopa ogopa. Nimekaa ulaya sijawai kutana mawazo ya kishamba kama haya.

Wacha mchezo fundi maiko wewe huyo ulikaa ulaya?
 
Hapa chini ni ramani ya nyumba vyumba viwili inaendelea kuandaliwa.
Lakini pia ina public toilet, dinning, sitting room, kitchen na stoo. Unaweza kujionea mwenyewe.







 
Kama hii ni ramani...sa sijui ramani ziiitweje.
Fundi Maiko bhanna...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…