Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 873
- 3,307
- Thread starter
-
- #1,141
Sifuri sita mbili nne sifuri sita nane nane sifuri tisaKuongozi nashida na mawasiliano yako
weka suluhisho sasaJe wajua, mtu aliyepo nje ya chumba anaweza akachungulia ndani kupitia tundu la kuingizia funguo kwenye kitasa na akaona mpaka ndani?
Kipindi cha nyuma kidogo kulikuwaga na vitasa flani ambavyo kwa ndani vilikuwa na kamfuniko juu ya tundu la funguo ambapo ukiingia ndani na kufunga mlango, unaweza ukauzungusha huo mfuniko kwa chini kuja kuziba tundu la funguo lakini siku hizi hivyo vitasa havionekani (vimekuwa adim sana)
Wengine huwa wananing'iniza funguo kwa ndani ili kuziba hilo tundu lakini kwa utafiti nilioufanya nimegundua bado kuna nafasi ndogo inabaki pembeni ya funguo ambapo mtu bado anaweza akachungulia na akaona mpaka ndani.
Hapo labda utafute flat magnet (hii ni sumaku ambayo inakuwa flat na nyembamba kama safaru, ni kama sarafu ya shilingi mia tano jinsi ilivyo), unakuwa unaiziba hapo baada ya kufunga mlangoweka suluhisho sasa
Aisee zUlishawahi kujiuliza ni kwanini katika majengo ya ghorofa huwa wanaweka nyavu kuzunguka jengo?
Sasa moja ya kazi nyingi za hizi nyavu ni kuzuia watu waliopo ndani ya jengo wasione mbali (nje ya jengo), hali ambayo inaweza kuleta kizunguzungu na mtu kudondoka chini
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Hii ndio kazi yake hizo nyingine ni ziada tuAisee z
Nlizan ni kuzuia mibao au bati ikiachia juu ikadondoka basi isiumize wapita njia.
Mimi nilijua ni kwa jili ya kuzuia vitu vikidondoka visiwaumize watu waliopo chini au wapita njia.Ulishawahi kujiuliza ni kwanini katika majengo ya ghorofa huwa wanaweka nyavu kuzunguka jengo?
Sasa moja ya kazi nyingi za hizi nyavu ni kuzuia watu waliopo ndani ya jengo wasione mbali (nje ya jengo), hali ambayo inaweza kuleta kizunguzungu na mtu kudondoka chini
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Zina kazi nyingi, hiyo pia ni moja wapoMimi nilijua ni kwa jili ya kuzuia vitu vikidondoka visiwaumize watu waliopo chini au wapita njia.
Option nyingine ni kuweka pazia kwa ndani, ambapo itaenda kuziba na sehemu ya juu ya mlango (vent).weka suluhisho sasa
Hiyo nyumba Au Kanisa?PLN 0001 2BR
Ramani ya Vyumba Viwili
Ramani hii ina privacy na ventilation ya hali ya juu sana
- Living room (Sebule)
- 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C)
- 1 Single bedroom
- Kitchen (Jiko)
- Public toilet (Choo cha jumuiya)
Bei: Tsh. 100,000/=
Ramani inakuwa na Makadirio yake ya vifaa vya ujenzi kuanzia hatua ya msingi mpaka finishing ambapo itakusaidia kukuongoza katika manunuzi ya vifaa na kuepuka kulanguliwa na mafundi wenye tamaa ya kukuzidishia hesabu ili wajinufaishe zaidi.
View attachment 2694970
Hiyo ni nyumba ndgHiyo nyumba Au Kanisa?
Tofali 60 mpaka 70 japo inategemea pia na factors zingine kama vile aina ya mchanga utakaotumika (mchanga wenye vumbi jingi unakula cement nyingi), na unene wa udongo (mortar).Kwa kawaida mfuko wa cement ya Twiga plus au namba 42 unatakiwa kujenga tofali ngapi za kusimama au za ukuta?
Asante sana mkuuTofali 60 mpaka 70 japo inategemea pia na factors zingine kama vile aina ya mchanga utakaotumika (mchanga wenye vumbi jingi unakula cement nyingi), na unene wa udongo (mortar).
Mzeya chumba cha 3m x 3m kinakula tofali ngapi?Tofali 60 mpaka 70 japo inategemea pia na factors zingine kama vile aina ya mchanga utakaotumika (mchanga wenye vumbi jingi unakula cement nyingi), na unene wa udongo (mortar).