Unauliza au unatuambia??Eneo la fut 40 kwa 25 naweza pata
- Vyumba viwili masta
- Sitting room
- Dining rm ilioungana na jiko
- Kastoo kadogo
Usipo elewa swali au sentensi basi ujuwe haikulengi wewe....muhusika atajibu tuUnauliza au unatuambia??
Maana kizazi cha siku hizi uandishi wenu wa ajabu sana.
Pathetic..!!Usipo elewa swali au sentensi basi ujuwe haikulengi wewe....muhusika atajibu tu
Kuna utofauti kati ya naweza pata na unapata
Ukisema tuje kwenye lugha mkuu.....apo nikikuuliza mashuleni ndo Kiswahili gani hicho?Pathetic..!!
Kwa hiyo siku hizi mashuleni ndio mnafundishwa kuuliza bila kuweka question mark??
Hapo kwenye upana wa kiwanja ni changamoto ndgEneo la fut 40 kwa 25 naweza pata
- Vyumba viwili masta
- Sitting room
- Dining rm ilioungana na jiko
- Kastoo kadogo
Ukipita kwenye fremu za biashara, utaona fremu nyingi switch zake za kuwashia taa za nje zipo nje kwa kigezo kwamba kila mwenye fremu ataweza kuwasha na kuzima hizo taa.
Sasa hii kiusalama sio nzuri kwa sababu utakuwa umempa access na mtu mwenye nia ya kutaka kuiba kuweza kuzima taa kabla ya kutekeleza dhamira yake
Njia sahihi na salama ni kuweka switch ndani katika kila fremu ambapo hii itakuwa inawapa wahusika tu access ya kuzima na kuwasha taa. Switch zinazotumika katika huu mfumo ni switch za njia mbili (2 way switch) na intermediate switch (kama fremu zinazidi mbili)
Mkuu mie nina garage ya uregu wa 7m na upana wa 4.5m sasa nataka nigeuze kawe ka studio apartment cha kupata hela za wazinzu wezangu🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye upana wa kiwanja ni changamoto ndg
Contents ni nyingi, kiwanja ni kidogo.
Hapo kwenye upana wa kiwanja ni changamoto ndg
Contents ni nyingi, kiwanja ni kidogo.