HechyHechy Essy Naomba muongozo wa wataalam.
Kati ya tofali za udongo za kuchoma na hizi za block (cement+mchanga) ni zipi imara zaidi? Na endapo unajengea tofali za udongo za kuchoma ni vyema kutumia cement ama tope la udongo?
Tofali za udongo ni imara zaidi ukilinganisha na tofali za mchanga na cement. Hii inategemea pia na namna hizo tofali zilivyotengenezwa.Hechy Essy Naomba muongozo wa wataalam.
Kati ya tofali za udongo za kuchoma na hizi za block (cement+mchanga) ni zipi imara zaidi? Na endapo unajengea tofali za udongo za kuchoma ni vyema kutumia cement ama tope la udongo?
ni wakati gani sahihi wa kumwaga jamvi..?nimeshaanza kupandisha tofali juu ya lenta,kinachonikera ni mimea kuota ndaniKabla ya kupandisha kuta za boma, hakikisha unajaza kwanza kifusi kwenye msingi. Kwanini? Ukijenga kuta za boma kabla ya kujaza kifusi, maana yake kuna sehemu zingine hutoweza kurusha kifusi ukiwa nje ya nyumba hivyo itamlazimu mtu anayejaza kifusi asombelee kifusi kwa ndoo kutoka nje na kuingia nacho ndani
Katika ujenzi ukiruka step moja wapo au ukabadilisha mtiririko wa kazi, huko mbele kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama zaidi
Muda sahihi wa kumwaga jamvi ni baada ya kumaliza kujenga kuta za msingi.ni wakati gani sahihi wa kumwaga jamvi..?nimeshaanza kupandisha tofali juu ya lenta,kinachonikera ni mimea kuota ndani
asante,kuna changamoto nikifanya hili zoezi sasa(kabla ya kupaua)?,ukizingatia upauaji unahitaji hela yote kwa pamoja,hofu yangu ni kukaa muda mrefu na ndani kuota mimeaMuda sahihi wa kumwaga jamvi ni baada ya kumaliza kujenga kuta za msingi.
Baada ya kumaliza kujenga kuta za msingi, unajaza kifusi, unasuka nondo za mkanda pamoja na kupanga mawe juu ya kifusi, unafunga box kuzunguka nyumba kisha unamwaga zege katika eneo lote la nyumba. Hii itafanya kazi ya jamvi kuwa nyepesi zaidi tofauti na kumwaga zege baada ya kupandisha boma.
Hapo kwa kesi yako, maliza kwanza kupaua ndipo uweke hiyo rough floor
Mimea kuota ni kawaida ndg, hiyo inaonesha kwamba kifusi chako kina plant nutrients zinazosupport ukuaji wa mimea.asante,kuna changamoto nikifanya hili zoezi sasa(kabla ya kupaua)?,ukizingatia upauaji unahitaji hela yote kwa pamoja,hofu yangu ni kukaa muda mrefu na ndani kuota mimea
Na vipi kama ukitaka kuweka lile DPM gumu, unaliweka juu ama chini ya nini kabla ya kumwaga jamvi?.Muda sahihi wa kumwaga jamvi ni baada ya kumaliza kujenga kuta za msingi.
Baada ya kumaliza kujenga kuta za msingi, unajaza kifusi, unasuka nondo za mkanda pamoja na kupanga mawe juu ya kifusi, unafunga box kuzunguka nyumba kisha unamwaga zege katika eneo lote la nyumba. Hii itafanya kazi ya jamvi kuwa nyepesi zaidi tofauti na kumwaga zege baada ya kupandisha boma.
Hapo kwa kesi yako, maliza kwanza kupaua ndipo uweke hiyo rough floor
Na kifusi kinajazwa baada ya muda gani baada ya kumaliza ujenzi wa msingi? As in niache muda gani mpaka tofali za msingi zimewe zimeshikana vizuri?Kabla ya kupandisha kuta za boma, hakikisha unajaza kwanza kifusi kwenye msingi. Kwanini? Ukijenga kuta za boma kabla ya kujaza kifusi, maana yake kuna sehemu zingine hutoweza kurusha kifusi ukiwa nje ya nyumba hivyo itamlazimu mtu anayejaza kifusi asombelee kifusi kwa ndoo kutoka nje na kuingia nacho ndani
Katika ujenzi ukiruka step moja wapo au ukabadilisha mtiririko wa kazi, huko mbele kuna uwezekano mkubwa ukaingia gharama zaidi
DPM unaweka kabla ya kumwaga jamvi, ila DPC unaweka wakati wa kuinua kuta za boma (juu ya mkanda wa msingi)Na vipi kama ukitaka kuweka lile DPM gumu, unaliweka juu ama chini ya nini kabla ya kumwaga jamvi?.
Mawe ni muhimu lakini kwa hizi nyumba za kawaida haina ulazima sana, ni optional (ukiweka sawa, usipoweka sawa)Na kifusi kinajazwa baada ya muda gani baada ya kumaliza ujenzi wa msingi? As in niache muda gani mpaka tofali za msingi zimewe zimeshikana vizuri?
Na je, baada ya kifusi nilazima kupanga mawe kabla ya kumwaga jamvi kwa nyumba ya kawaida ambayo sio ghorofa?
Okay....angalau wike d hela tumepata pakuipelekaKila weekend kunakuwaga na punguzo la bei kwa asilimia 10.View attachment 3336741
Labour charge inategemea na vitu vingi ndg, wakati mwingine unakuta fundi mpaka afike site tu anaweza akatumia nauli zaidi ya Tsh 5000 (kama wapo wanne maana yake nauli tu wanatumia 20,000/=, hapo bado chakula) kwahivyo analazimika ataje bei ya juu ili kufidia hizo gharamaKitchen verandah tayari inanguzo 2(1.3*2.25)mtrs,mpango ni kuweka slab juu kwa kuextend kidogo ili walau tank la 2m3 likae.
Nimeambiwa hitaji
Nondo 12mm (5pcs)
'Mirunda 18ft(9pcs)
Cement 5no
Misumari 4"~2kg
Binding wire 1no
Mchanga mweusi(upo tayari)
Labour 180K
ukitoa mchanga ambao upo tayari,gharama za material kwa huku hazifiki 300K,
kwa uzoefu wako,hiyo labour charge iko fair?
cc Hechy Essy
Na kwa upande wa sehemu ya kuwekea choo cha kuchuchumaa, hiyo DPM inachanwa ama inawekwa vipi?.DPM unaweka kabla ya kumwaga jamvi, ila DPC unaweka wakati wa kuinua kuta za boma (juu ya mkanda wa msingi)
Aisee paa la maanaKwa hii roof plan,naweza pata makadirio ya idadi ya Bati?View attachment 3340872
Hapana, hauichani. Kadiria kina cha uwazi utakaouacha kwa ajili ya sink, wakati wa kutandika DPM yako, DPM itaingia chini kwenye huo uwazi bila ya kuichana. Hakikisha unaweka kingo katika huo uwazi ili utakapomwaga zege, zege isizibe hiyo sehemu vinginevyo utakuja kupata shida ya kutindua zege baadae ambapo inaweza kusababisha nyufa katika hiyo jamviNa kwa upande wa sehemu ya kuwekea choo cha kuchuchumaa, hiyo DPM inachanwa ama inawekwa vipi?.
Kuna ulazima wa kuweka DPC ikiwa umeweka DPM, na kwa upande mwingine, DPC inazuia vipi unyevu usipande juu kwa kupitia kwenye plasta?.