Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

Mkuu nyumba ya room 3 ukubwa 12 kwa 14 inaweza kula mabat meters ngap
 
Ukienda hardware kununua material, jitahidi pia kuongozana na muuzaji ili na wewe ukachague bidhaa unayoipenda maana kawaida wauzaji huwa wanaanza kuuza bidhaa zenye kasoro ili wabaki na bidhaa nzuri dukani mfano upande wa nondo watakupatia nondo ambazo zimeshaanza kupata kutu wakati nondo mpya zipo, upande wa mbao watakupatia mbao zilizopinda/nyembamba wakati mbao zilizonyooka zipo n.k

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Ungeweka namba ya simu ingependeza mkuu.Nawaza kujenga naamini utakuwa msaada wangu wa karibu
 
Mkuu hii kampuni ya Ando unaizungumziaje kwenye Bati zake
 
Pia ni muhimu kalo la choo kama nyumba ipo bondeni yan siyo kilimani kwenye kujenga ni muhimu likatoka juu hata nusu futi ili kama kutakuwa na maji ya mvua yasiweze kuingia kwenye kalo ilo la choo
 
Hivi ni standard ya milango kwenye nyumba ni ngapi? Kwa mfano mlango wa 110 unafaa kuwa mlango wa kuingilia?
 
Hivi ni standard ya milango kwenye nyumba ni ngapi? Kwa mfano mlango wa 110 unafaa kuwa mlango wa kuingilia?
Mlango wa chumba kawaida ni sentimita 90 sawa na around futi 3
Mlango wa kuingilia sebleni kawaida ni sentimita 120 sawa na around futi 4 (huu wa sebleni unakuwaga ni double door)
 
Mlango wa chumba kawaida ni sentimita 90 sawa na around futi 3
Mlango wa kuingilia sebleni kawaida ni sentimita 120 sawa na around futi 4 (huu wa sebleni unakuwaga ni double door)
Yaani mie nimeacha 100cm milango ya vyumbani na 110 mlango mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…