Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 873
- 3,307
- Thread starter
-
- #1,421
Msaada wa makadirio ya Mbao kwa ajili ya brandering...ukubwa wa nyumba 9*10=90sq mtrs...nikitumia 2*2 kwa sababu ya gharama ni sawa..zinaweza hitajika ngapi..Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasilianeView attachment 3600342
Hapo kuwa makini sana maana sisi mafundi umeme uwa tunajionea vingi sana kwenye izo mbao za juu.Msaada wa makadirio ya Mbao kwa ajili ya brandering...ukubwa wa nyumba 9*10=90sq mtrs...nikitumia 2*2 kwa sababu ya gharama ni sawa..zinaweza hitajika ngapi..
Ili kupata makadirio ya mbao kwa usahihi inatakiwa iwepo floor plan ili kuona mgawanyo wa vyumba jinsi ulivyo vinginevyo itakuwa ni kama nimekadiria mbao za kufanya brandering ya ukumbi (hakuna partition kati kati)Msaada wa makadirio ya Mbao kwa ajili ya brandering...ukubwa wa nyumba 9*10=90sq mtrs...nikitumia 2*2 kwa sababu ya gharama ni sawa..zinaweza hitajika ngapi..
Shukrani mkuu nilishapata makadirio yenye uhalisia, mwanzoni hatukuelewana na fundi nikidhani idadi ni mara mbili ya nilichotemegea,kumbe alinipa options 2..Ili kupata makadirio ya mbao kwa usahihi inatakiwa iwepo floor plan ili kuona mgawanyo wa vyumba jinsi ulivyo vinginevyo itakuwa ni kama nimekadiria mbao za kufanya brandering ya ukumbi (hakuna partition kati kati)
Tuwasiliane nikufanyie makadirio ya material yote ya brandering, ikiwemo gympsum boards, mikanda, screws za kufungia board, fibre tape n.k
Ok sawa ndg haina shidaShukrani mkuu nilishapata makadirio yenye uhalisia, mwanzoni hatukuelewana na fundi nikidhani idadi ni mara mbili ya nilichotemegea,kumbe alinipa options 2..
Ratio Kali(standard plastering) ikoje ndugu?Katika upigaji plaster wa kuta, ni afadhali ukaweka plaster nyembamba yenye ratio kali kuliko ukaweka plaster nene yenye ratio dhaifu kwa maana haitochukua muda itaanza kuachana na kuta. Uimara wa plaster unaanza na ratio, kisha unene ndio unafuata
Ratio ya plaster kwa kuta za ndani ni tofauti na Ratio ya plaster kwa kuta za nje
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasliane. Ushauri ni BURE kabisa
Kuta za ndani 1:5, kuta za nje 1:4Ratio Kali(standard plastering) ikoje ndugu?
Kuna fundi ananiambia ndoo za 10ltrs 50 kwa mifuko 3 ya cementKuta za ndani 1:5, kuta za nje 1:4
Hiyo ni kwa mchanga ambao ni mzuri katuka matumizi ya plaster, vinginevyo utalazimika kuongeza cement zaidi ili kupata mortar nzuri itayofaa kwa matumizi ya plaster
🤣🤣🤣 huyo anataka mwaka ukimalizika umuite tena umpe kazi kwa mara ya pili ya plasterKuna fundi ananiambia ndoo za 10ltrs 50 kwa mifuko 3 ya cement
Hivi unajua ratio ya 1:5 ni sawa na ndoo ndogo 20 kwa mfuko, ambapo ni ndoo 60 kwa mifuko 3 ya cement. So unaona hapo ratio ya huyu fundi ipo ni kama 1:42🤣🤣🤣 huyo anataka mwaka ukimalizika umuite tena umpe kazi kwa mara ya pili ya plaster
Kwa mifuko mitatu ni sahihi kabida.nilijua mfuko mmojaHivi unajua ratio ya 1:5 ni sawa na ndoo ndogo 20 kwa mfuko, ambapo ni ndoo 60 kwa mifuko 3 ya cement. So unaona hapo ratio ya huyu fundi ipo ni kama 1:42
Kwa mifuko mitatu ni sahihi kabida.nilijua mfuko mmojaHivi unajua ratio ya 1:5 ni sawa na ndoo ndogo 20 kwa mfuko, ambapo ni ndoo 60 kwa mifuko 3 ya cement. So unaona hapo ratio ya huyu fundi ipo ni kama 1:42
Ushaweka mfumo wa umeme na maji?Habari Viongozi,
Naomba Msaada wa Gharama ya Vifaa Kupiga Plasta na Gharama ya Ufundi kwa Kazi ya Kupiga Plasta, Kwa kuzingatia Mchoro hapa Chini
Mfumo wa Umeme na Maji tayari Kiongozi.Kwa mifuko mitatu ni sahihi kabida.nilijua mfuko mmoja
Ushaweka mfumo wa umeme na maji?
Huwa nawaambia kila siku, ukinunua ramani kwa mtu hakikisha unambana huyo huyo aliyekuchorea ili usiingie tena gharama mara mbili. Sidhani kama mtu atakuchorea ramani, halafu ukamuuliza kitu akakuchaji tena gharama zingine.Habari Viongozi,
Naomba Msaada wa Gharama ya Vifaa Kupiga Plasta na Gharama ya Ufundi kwa Kazi ya Kupiga Plasta, Kwa kuzingatia Mchoro hapa Chini