Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
- #821
Hiyo inakuwa changamoto ndg yanguDah fursa hii ya kuanza kighorofa changu, nitakutafuta Engineer unichoree ramani na structural ila ujue kabisaa kwenye nguzo unanichorea structural drawings ya nondo za mm 12 na sio mm 16 kwenye nguzo na usiniwekee nguzo nyingi maana hela zenyewe za mawazo sanaaa 🤣😭😭 japo najua ushasemaga kitaalam NO maana za mm 12 zinanepa ila kibishi nitakutafuta.
Kiufupi mimi nadesign kulingana na uhalisia ulivyo, nyie huko kwenye utekelezaji ndio mtaamua mfanye vipi ili hata likitokea la kutokea mkamatane mashati wenyewe kwa wenyewe🙂🙂.
Ni vizuri ukafuata muongozo unavyokuongoza ili kuepukana na risk za kudondoka kwa majengo, kitu ambacho kitaleta hasara kubwa na hata kusababisha vifo vya watu