Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

Ramani: Mataifa yenye uhusiano mzuri na Israel

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii.

Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale Gaza.

Kwa hiyo, wale mnaosema humu kwamba ipo siku Wayahudi watafutwa duniani kisa mliaminishwa kwenye vitabu vyenu vya dini, hilo haliwezekani, dunia inatambua uwepo wa Israel, inatambua haki ya Wayahudi ya kuishi, na hata mkijilipua mabomu mara ngapi, bado mtakufa nyie na kuwaacha Wayahudi wakiendelea kuishi.


IsraelMap_Nov15_update.jpg
 
Back
Top Bottom