Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele...

Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika kwenye hili, hongera kiongozi wetu, unaondoka na kutuachia urithi ambao tutakukumbuka sana, umepambana kusaka soko kote, leo Kenya tunafaulisha maparachichi kuliko mataifa yote Afrika.

eac.jpg

The Democratic Republic of Congo on Monday completed the last and most important step of joining the East African Community (EAC).

At a function held at the EAC headquarters in Arusha, Tanzania, on Monday, the DRC officially became a member of the EAC after depositing instruments of ratification on the accession of the EAC Treaty with the bloc’s secretariat.

DRC now has full rights and privileges like any EAC member to participate in EAC’s programmes and activities and affirms to meet the obligations of the EAC.

With a population of about 92 million people, it holds almost half of the population of the EAC member states and is thus a huge market.

The entry of DRC portends growth in various sectors, and also increases the population to above 300 million.

The combined gross domestic product (GDP) will also rise to $250 Billion (Sh28.8 trillion).

Kwakweli acha nijitahidi nifike nchi wanachama kuchungulia fursa.
Huku kujifungia kunanikosesha mengi.

Umeonaee.....hubiri kwa wenzio huko pia, watu tunakatiza haya mataifa na kupiga deals....lazima uwe jasiri ili utoke kimaisha.
 
Umeonaee.....hubiri kwa wenzio huko pia, watu tunakatiza haya mataifa na kupiga deals....lazima uwe jasiri ili utoke kimaisha.
Kabisa mkuu.
Ila naskia wakenya na roho mbaya/ngumu pia zinawasaidia! Kuna ukweli hapo??
 
Kabisa mkuu.
Ila naskia wakenya na roho mbaya/ngumu pia zinawasaidia! Kuna ukweli hapo??

Tatizo nyie ujamaa uliwalemaza, mnapenda mambo undugu undugu hata kwenye masuala ya maslahi kwenye biashara za watu. Sasa sisi likifika suala la kibiashara huwa tunanuna na kufanyiana mahesabu ya shilingi kwa shilingi, na ndio kwa tafsiri za kijamaa mnaita "roho mbaya".

Kipindi nikiwa Tz, kuna Mtanzania alikua analizwa sana na hayo mambo ya undugu, jamaa walikua wanampiga hela sana kwenye biashara zake kisa kawaamini maana ni "ndugu" ambao walikua wanacheka cheka naye.
 
Katika biashara hamna cha undugu.. unamwamini kumbe ndiye hasimu kwako
 
Tatizo nyie ujamaa uliwalemaza, mnapenda mambo undugu undugu hata kwenye masuala ya maslahi kwenye biashara za watu. Sasa sisi likifika suala la kibiashara huwa tunanuna na kufanyiana mahesabu ya shilingi kwa shilingi, na ndio kwa tafsiri za kijamaa mnaita "roho mbaya".

Kipindi nikiwa Tz, kuna Mtanzania alikua analizwa sana na hayo mambo ya undugu, jamaa walikua wanampiga hela sana kwenye biashara zake kisa kawaamini maana ni "ndugu" ambao walikua wanacheka cheka naye.
Ukweli unaoumiza.
Hata mimi hii kitu inaniathiri sana ndgu yangu.

Huwa tunawaamini ndgu, watu wa karibu ama watu waliotusaidia kipindi tumefikwa na magumu.

Tumeruka mifumo mingi sisi watz, huo ujamaa tuligusa tukaacha, ubepali nao tunagusa gusa tu, hatuna mfumo maalum. Hatujui ni kuchapa kazi humpa mtu kula au ni kujuana na walio kwenye kitengo.

Hii point ya pili hata wakenya wengi inawahusu sema tu nyie wengi wenu mmetoka nnje ya kenya ndo kunawafanya mjue mengi na baadhi ya mifumo na weekness zake.
 
Back
Top Bottom