Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

Scale iliyotumika. Inabid wabadilishe scale Ili ionekane. Kulikuwa hkna haja ya kutumia scale kubwa Hivyo.
Kwa hiyo unataka Burundi na Rwanda wasionekane, au una maana gani wewe na hiyo "scale" unayoizungumzia!

Watumie, 'scale' ndogo kwa Kongo ili Zanzibar ionekane. Kwa vipi?
 
hakuna vingi kama
maziwa kama nyasa, natroni, eyasi, kyoga, albert, turkana
mito kama nile, congo, rufiji, ruvuma, tana

aliye sanifu kaifanya sanaa
 
Zanzibar itakuwa nchi bhana
 
Hiyo EAC ni jumuiya yenu machogo. Wazanzibari tunataka kujiunga na jumuiya za OIC na Arab League. Uanachama wa Zanzibar wa IOC ulifanyiwa fitna na Nyerere ukashindikana. Zanzibar ikirudisha mamlaka tutajiunga na hizo jumuiya za OIC na Arab League.
 
Hivyo ni ramani ya mkoloni Tanganyika.
 
Chukua Tz, Kenya na Uganda lakini bado hawaikuti Congo DR kwa ukubwa.
 
Bila magnifying glass huwezi kukaona ni kadogo mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…