mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Rasmi, ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam imezinduliwa Jana, kwa watu wa mikoani mnaosafiri kuja Dar msihangaike, fika town, pitiliza jangwani pale chukua jezi yako ya yanga then vaa anza kufata direction vitongoji vyote vipo, kwa wakazi wa dar fanyeni hivyo hivyo.
Msihofu hamtapotea mkiwa na Raman jezi hiyo maana tofauti na Raman zingine, ramani hii inaonesha hadi mitaro ya jiji na vyoo vya kulipia.
Wote mnakaribishwa kujipatia Ramani.
Msihofu hamtapotea mkiwa na Raman jezi hiyo maana tofauti na Raman zingine, ramani hii inaonesha hadi mitaro ya jiji na vyoo vya kulipia.
Wote mnakaribishwa kujipatia Ramani.