Ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam

Ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Rasmi, ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam imezinduliwa Jana, kwa watu wa mikoani mnaosafiri kuja Dar msihangaike, fika town, pitiliza jangwani pale chukua jezi yako ya yanga then vaa anza kufata direction vitongoji vyote vipo, kwa wakazi wa dar fanyeni hivyo hivyo.

Msihofu hamtapotea mkiwa na Raman jezi hiyo maana tofauti na Raman zingine, ramani hii inaonesha hadi mitaro ya jiji na vyoo vya kulipia.

Wote mnakaribishwa kujipatia Ramani.

IMG_20220728_205100.jpg
 
Kwa mama kibonge sijapaona, au Google [emoji2793] inasumbua??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom