sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Eti rent free? [emoji38] Wanatumaindi sana hawa watanzania, waganda na wasomalia. Kuna watu kama kina Geza Ulole, joto la jiwe n.k, n.k. ambao wakiamka, wakinywa, wakila, wakilala na wakipumua huwa wanawaza tu; [emoji1139][emoji1139][emoji1139].We live rent free in our neighbors heads. Wanatuwaza usiku na mchana
Link pleaseAfrika Kusini wanasechi sana ushu za Zimbabwe
Zimbabwe wanawasechi sana Afrika Kusini
Congo wanawasechi sana Nigeria
Tanzania na Uganda tunawafatilia mno majirani zetu Kenya
Burundi wanawasech sana Rwanda
| Number of internet users in millions | |
|---|---|
| Nigeria | 126.08 |
| Egypt | 49.23 |
| Kenya | 46.87 |
| South Africa | 32.62 |
| Algeria | 25.43 |
| Morocco | 23.74 |
| Tanzania | 23.14 |
| Ethiopia | 20.51 |
| Uganda | 18.5 |
| Sudan | 13.12 |
| Mali | 12.48 |
| Cote d'Ivoire | 11.95 |
| Ghana | 11.74 |
Hahahaha hivi kati y Tanzania na Kenya ipi inafuatilia mwenzake? Ninyi mpaka imefika mahali serikali yenu imeingilia kati kwamba mnaifuatilia sana Tanzania ikabidi waje na campaigns #PlayKenyaMusic au ni nchi gani ili fanya hivi ๐๐๐๐๐๐๐Naton Jr karibu
, ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎNaton Jr umehepa ๐๐๐
Africa: number of internet users in selected countries 2019
Published by J. Clement, Sep 2, 2020
As of December 2019, Nigeria had more than 126 million internet users. Second-ranked Egypt had 49.23 million users. The majority of web traffic in leading digital markets in Africa originated from mobile devices - in Nigeria, one of the countries with the biggest number of internet users worldwide, 74 percent of web traffic was generated via smartphones and only 24 percent via PC devices.
Number of internet users in millions Nigeria 126.08 Egypt 49.23 Kenya 46.87 South Africa 32.62 Algeria 25.43 Morocco 23.74 Tanzania 23.14 Ethiopia 20.51 Uganda 18.5 Sudan 13.12 Mali 12.48 Cote d'Ivoire 11.95 Ghana 11.74
Wewe ulisikia wapi anatrend wapi vile? ๐๐๐๐จ๐๐๐Naton Jr umehepa ๐๐๐

Kenyan phrases zinatrend Tz ...oooliskia wapi! Ndio maanaWewe ulisikia wapi anatrend wapi vile? ๐๐๐๐จ๐๐๐
Ninyi mlivyo hamjui kiswahili mnasema oooolisikia wapi ๐๐๐๐
Ndio matatizo ya kufuatilia sana foreign country ๐๐๐๐๐
๐ค๐ค Time will tell ๐๐Kunya wazee wa ku Google vi data vya ujanja janja.atuongei sana muda utaongea