Ramani ndogo ya nyumba inahitajika

Ramani ndogo ya nyumba inahitajika

Ujenzi mwema
IMG_20200503_125903.jpg


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Vyumba viwili, kimoja master
Dinning, sitting, jiko na public toilet



Simu 0712464478
mkuu ushauri tu. Nyumba ni kitu cha kudumu miaka mingi, si vema ukachukua ramani mitaani na kuihamishia kwny kiwanja chako. Mtafute mchora ramani anayejua kazi yake mpeleke kiwanjani kwako akuchoree ramani hiyo unayotaka lkn kwa mazingira ya kiwanja chako. Vinginevyo ni rahisi kupata ramani ambayo ukisha jenga nyumba yako na kuanza kuitumia ikawa nyumba inanuka na joto kali muda wote sbb umenunua ramani kihorera. Utakua una bahati sana kama utapata ramani sahihi kwa staili hii. Good luck
 
Kinachonichekesha ni mtu kaomba Raman ya chumba mbili ila zinazokuja ni kama kilichoombwa hakijaeleweka.

Jaman mtu akisema chumba 2 ujue na mfuko unacheza maeneo hayo kwahyo usilete ramani inayokinzana na uhitaji ni kumkatisha tamaa muhusika aone kujenga hakuwezekani.

Chagua unayoona inakufaa hapo.

Hata kama unataka ya chumba kimoja master , kitchen, sitting room zipo

ukimtaka na fundi pia wakukufanikishia kwa bei ya kawaida kabisa nitaafute PM
 

Attachments

  • 1711643211979_1.jpg
    1711643211979_1.jpg
    34.2 KB · Views: 3
  • 1711086274399_1.jpg
    1711086274399_1.jpg
    50 KB · Views: 3
  • 1711031825093_1.jpg
    1711031825093_1.jpg
    44.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom