Ramani ya Makao Makuu Mapya ya CCM Dodoma ni Nzuri kuliko Majengo ya Wizara Pale Mji wa Serikali Mtumba

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji.

Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama kubwa,mumeihehimisha Dodoma.👇👇

My Take
Majengo mengine yajayo msijenge ramani za kienyeji kienyeji kama mlizojenga yaani Hadi Baadhi ya ofisi za Wakuu wa Mikoa ni nzuri kuliko majengo ya Wizara.

Tatizo ni 10% kila afisa/mkurugenzi anataka kula naye awake heshima kwa mpenzi wake.
Na uzuri wa Tz wizi kwenye pesa za umma almost ruksa.
CAG huwa anajichosha tu.
Hiyo inahusikaje na usanifu mbovu wa architects wa TBA?
 
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji.

Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama kubwa,mumeihehimisha Dodoma
Uzuri wa jengo hausadifu mazuri yyt mliyofanya kwa sababu hayapo na wala hautakuja kufuta dhuruma ya kupoka uhai wa mliowateka.
#utekaji
#ni
#kwa
#manufaa
#ya
#ccm
 
Yangekuwa hayapo ungekuwa umeshafukiwa.
 
Mwenye njaa anaaezaje kushindana na mwenye shibe? Tushindane na Wakunya Kwa kipi?
Haya jengeni hamna mtu kawazuia! Wenzio wanakula na kujitajirisha we piga debe tu hapa jioni kalale ukipiga miayo hapo ulongoni kwa baba mwenye nyumba ukinywa majitaka then amka asbh tazama jf story mpya za makonda anza kusifia upya upate kwnda chooni
 
Unahitaji pesa kiasi gani Ili kuendesha maisha yenye furaha?
 
Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji.

Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama kubwa,mumeihehimisha Dodoma.👇👇

My Take
Majengo mengine yajayo msijenge ramani za kienyeji kienyeji kama mlizojenga yaani Hadi Baadhi ya ofisi za Wakuu wa Mikoa ni nzuri kuliko majengo ya Wizara.

CCM itatawala milele
 
Back
Top Bottom