ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa hiyo CCM wanajipiga? CCM sio mbumbumbu kama ChadomoKwani hawana ofisi? Au channel mpya ya upigaji tu kama kawa? Tumewazoea!
Katiba mpya bora ije tu
Hiyo inahusikaje na usanifu mbovu wa architects wa TBA?Tatizo ni 10% kila afisa/mkurugenzi anataka kula naye awake heshima kwa mpenzi wake.
Na uzuri wa Tz wizi kwenye pesa za umma almost ruksa.
CAG huwa anajichosha tu.
Kwani sisiemu ni mtu? Jielimishe kdg kutoa aibu ndogo za hivi! Hata kama chawaKwa hiyo CCM wanajipiga? CCM sio mbumbumbu kama Chadomo
CCM sio mtu ni majani ππKwani sisiemu ni mtu? Jielimishe kdg kutoa aibu ndogo za hivi! Hata kama chawa
Hujui wanaosanifu nao wanalipwa??Hiyo inahusikaje na usanifu mbovu wa architects wa TBA?
CCM sio mtu ni majani ππ
Uzuri wa jengo hausadifu mazuri yyt mliyofanya kwa sababu hayapo na wala hautakuja kufuta dhuruma ya kupoka uhai wa mliowateka.Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji.
Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama kubwa,mumeihehimisha Dodoma
Yangekuwa hayapo ungekuwa umeshafukiwa.Uzuri wa jengo hausadifu mazuri yyt mliyofanya kwa sababu hayapo na wala hautakuja kufuta dhuruma ya kupoka uhai wa mliowateka.
#utekaji
#ni
#kwa
#manufaa
#ya
#ccm
Mwenye njaa anaaezaje kushindana na mwenye shibe? Tushindane na Wakunya Kwa kipi?Halafu ndio mnataka kushindana na wakenya? Pathetic
Huna akili,Kwa hiyo Jengo la CCM sio ramani ya kudumu?Majengo ya serikali yana ramani za kudumu zile.
Haya jengeni hamna mtu kawazuia! Wenzio wanakula na kujitajirisha we piga debe tu hapa jioni kalale ukipiga miayo hapo ulongoni kwa baba mwenye nyumba ukinywa majitaka then amka asbh tazama jf story mpya za makonda anza kusifia upya upate kwnda chooniMwenye njaa anaaezaje kushindana na mwenye shibe? Tushindane na Wakunya Kwa kipi?
Unahitaji pesa kiasi gani Ili kuendesha maisha yenye furaha?Haya jengeni hamna mtu kawazuia! Wenzio wanakula na kujitajirisha we piga debe tu hapa jioni kalale ukipiga miayo hapo ulongoni kwa baba mwenye nyumba ukinywa majitaka then amka asbh tazama jf story mpya za makonda anza kusifia upya upate kwnda chooni
Hahaha unataka kunipa chawa? Nina 500+m za madafu kwa acc waniongezea ngapi?π πUnahitaji pesa kiasi gani Ili kuendesha maisha yenye furaha?
CCM itatawala mileleTuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji.
Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama kubwa,mumeihehimisha Dodoma.ππ
My Take
Majengo mengine yajayo msijenge ramani za kienyeji kienyeji kama mlizojenga yaani Hadi Baadhi ya ofisi za Wakuu wa Mikoa ni nzuri kuliko majengo ya Wizara.