Hizi Ramani Mtafute Architect afanye Modifications kureflect Mazingira yetu na Maisha ya Kiafrika.
1.Jiko na Living room kuwa pamoja Siyo,Yàani hata kule village Jiko kanajengwa sehemu yake,tusijue wanapikaje na wanapika nini.Jiko linahitaji kuwa Eneo huru Shughuli zake walio sebuleni wasijue Hadi Chakula kimekuwa tayari.
2.Mlango wa Kuingia vyumbani,-Haupaswi kuonwa na Watu tokea Sebuleni.Mlango wa Chumba kibongo pia Una Siri za kiusalama.
3.Porch/Canopy
No vitu mhimu ingawa porch zingine unaweza kuta hata Mwezi hazijatumika.Kiukweli ukitoa weekend lini Unatumia porch?Ukirudi unafika Living,kisha Kuogea,Kula,TV alafu kulala.Nina Nyumba ina porch 2 na naona kabisa hela imepotea.