Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naeza kupata ramani ya hii? Nikaishi na mdogo wake Lamomy
Inahusika vipi na thread yetu mzee? Can you justify?Nyumba haikadiriwi kwa raman ujenzi lazima ujipange ukiona raman unaeza ona kitu rahis rahis tu
Baadhi ya watu mliofanikiwa kujenga mnakuaga na vitisho jamani....kujenga ni kitu cha kawaida tu, kikubwa UAMUZI mengine yanawezekana kabisa.Nyumba haikadiriwi kwa raman ujenzi lazima ujipange ukiona raman unaeza ona kitu rahis rahis tu
Nimekuelewa binafsiHizi Ramani Mtafute Architect afanye Modifications kureflect Mazingira yetu na Maisha ya Kiafrika.
1.Jiko na Living room kuwa pamoja Siyo,Yàani hata kule village Jiko kanajengwa sehemu yake,tusijue wanapikaje na wanapika nini.Jiko linahitaji kuwa Eneo huru Shughuli zake walio sebuleni wasijue Hadi Chakula kimekuwa tayari.
2.Mlango wa Kuingia vyumbani,-Haupaswi kuonwa na Watu tokea Sebuleni.Mlango wa Chumba kibongo pia Una Siri za kiusalama.
3.Porch/Canopy
No vitu mhimu ingawa porch zingine unaweza kuta hata Mwezi hazijatumika.Kiukweli ukitoa weekend lini Unatumia porch?Ukirudi unafika Living,kisha Kuogea,Kula,TV alafu kulala.Nina Nyumba ina porch 2 na naona kabisa hela imepotea.
Ungeficha hiyo corridor..yaani unaenda kuoga wageni wanakuona