Ramani ya nyumba

Ramani ya nyumba

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,385
Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.

Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa.

Msaada wenu au ushauri wadau.
 
habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule
isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa
kiwanja changu ni 15*15 kipo arusha ila mmi nipo dsm
kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa

msaada wenu au ushauri wadau
Kuna jamaa mmoja yupo humu alinichorea jengo langu, ramani pamoja na 3D; yupo vizuri,kama utaitaji mawasiliano nitakupatia...yupo Mwanza lakini.
 
Kuna jamaa ni fundi sana katika hizi kazi,,,naposema fundi namaanisha mkuu. Yupo Dar ukitaka kufanya nae kazi nitakupa namba pm.
 
Back
Top Bottom