Ramani za majengo.

habari,
Nina kakiwanja kadogo measuring 14 x14 meters.
Nataka kuweka frame moja ya duka la dawa baridi na mamlaka ya dawa nasema minimum dimension of the duka la dawa iwe futi 10 urefu, futi 9 upana na futi 8 kimo
Pili nataka nipate frame ya duka
Tatu, chumba kidogo cha kulala mfanyakazi kuweka kitanda cha 5x6........ if possible chumba kiwe na ka sebule kadogo. Is this possible kwa ka kiwanja ako?

Mwisho gharama zenu ni zipi?

NB: Duka la dwa lazimaliwe na ka stoo kadogo ka kutunzia dawa. .................with shelves
 
Tangazo la ramani halafu kiambata unaweka picha?
 
M

Inawezekana mkuu.
Nicheki 0759009331 tufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…