greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo.
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
1.HOW I MET YOUR MOTHER
Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily nadhani mnakumbuka ile nyuma maarufu waliyokuwa wakikutan.
Maelezo :
2.FRIENDS
Sitcom nyingine maarufu ambayo ilipendwa sana.Ilikuwa ikuhusu marafiki 6 Rachel,Monica, Phoebe, Ross,Joey na Chandler.
Nyumba maarufu walizokuwa wakiishi hizo hapo juu
Maelezo :
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
SEHEMU YA KWANZA
1.HOW I MET YOUR MOTHER
Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily nadhani mnakumbuka ile nyuma maarufu waliyokuwa wakikutan.
Maelezo :
- Jengo la ghorofa,amabapo hiyo nyumba ni mojawapo ya apartments
- Ukiingia ndani,mbele unaona upande wa kulia kuna sehemu ya kula
- Kulia kuna sebure,ambapo Kulia kwa sebure kuna ofisi ya nyumbani
- Kwenye Ofisi kuna njia za kwenda vyumba vya kulala
- Huku dinning ndipo jipo lilipo
- Nafasi kati Jsebure,dinning na Ofisi hakuna kuta ili kuruhusu mzunguko wa hewa,na urahisi wa watu kutembea
- Madirisha ya nyumba yote yapo upande mmoja
- Kuta za nje ni Nene kwa ajili kuthibiti baridi.
2.FRIENDS
Sitcom nyingine maarufu ambayo ilipendwa sana.Ilikuwa ikuhusu marafiki 6 Rachel,Monica, Phoebe, Ross,Joey na Chandler.
Nyumba maarufu walizokuwa wakiishi hizo hapo juu
Maelezo :
- Makazi yapo ghorofani na ni apartments
- Kushoto ni makazi ya Joey na Chandler
- Ukiingia tu,kulia kwako kuna jiko,kushoto kuna dinning
- Ukiendelea mbele kuna sebure,ambapo kulia kuna choo cha umma
- Mbele ya sebure kuna Milango ya vyumba vya kulala.
- Ukiingia unafikia jikoni,ukikunja kushoto kuna dinning
- Mbele kuna sebure,kushoto ya sebure kuna ofisi ya nyumbani na choo cha umma.
- Mbele ya sebure kuna vyumba
- Madirisha upande mmoja
- Kuta za nje Nene,kuzuia baridi
- Floor plans zisizo na kuta
- Majiko yako mlango mkuu,ili kuruhusu vyumba muhimu kuwa madirishani.
- Privacy haijzingatiwa kabisa