Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

Please use the services of a qualified planner. You will get value for money and you will build a safe and confortable house/home.
any short cuts will only bring you expense and discomfort.
 
Utasikia watu wanalalamika eti nyumba haikaliki ina majinamizi ukilala yanakukaba, kumbe kaokota nyumba kwenye website, imesanifiwa kwa nchi za wenzetu anaileta kwetu! Tafuta mtaalam, kaa naye umpe matatizo yako akupatie suluhisho sahihi!
 
Ni kweli mi ya kwangu nilipata kwenye internet na nikai- modify na sijapata tatizo lolote na nimehamia nyumba yangu tangu 2004. Ni tatizo gania anasema architect
Unajua mambo haya ni kama ilivyo kwa magonjwa. Mara nyingine tunameza dawa bila kwenda kwa daktari na tunapona lakini hilo haliondoi umuhimu wa daktari na waksti mwingine tunajidhuru bila kujua kwa kumeza dawa zisizo sahihi.
 
Kijana, mambo vp?
Wadau wengine pia, habari zenu?

Nikitaka kujenga nyumba kama hii (AmazingPlans.com House Plan #1885C-SLM - 1885 Square Feet, 3 Bedrooms, 2 Full Bathrooms, Colonial, Contemporary, Country, Hillside, Ranch, Southern, Traditional, Victorian)kwa interlocking bricks au kwa tofali za kuchoma au zile tofali za udongo mwekundu wa kuchanganya na cement. Halafu nguzo nyingi nitumie za miti na pia niifanye iwe thatched house na ile bonus house niijenge kwa mbao na miti tu nayo iwe thatched. Sitaki kuweka ceiling board, nataka mapambo ya paa lenye nyasi yawe yanaonekana na pia nataka sakafu ya bonus room iwe ya mbao, siyo ya cement - itanigharimu sh. ngapi?

Fantastic idea! I am yet to see more of these kind in our country, especially in the country side
 
kwa anayehitaji ramani za bei reasonable na ushauri wa bure,kuna bwana mmoja wa arusha anachora ramani nzuri tu,kwa bei nzuri.anapatikana kwa namba 0754205939-anaitwa Temu.anafanya kazi nzuri kwa kweli,mtu akifanya jema anastahili,kusaidia wanaJF pia
 
Back
Top Bottom