Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

KIWONDEF

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
59
Reaction score
23
Tunajishugulisha na uchoraji wa ramani za mitindo mbalimbali,tuna design pia ndani na nje ya nyumba yaani interior design na landscape dedesign

kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com
 
mnajishuhulisha na kuchora mapaa pia? kuna nyumba ya ghorofa moja na imeshapauliwa lakini upande mmoja sio wa ghorofa na umeshindikana kupaua bila kusababisha athari za kulowa ukuta wakati wa mvua.
 
mnajishuhulisha na kuchora mapaa pia? kuna nyumba ya ghorofa moja na imeshapauliwa lakini upande mmoja sio wa ghorofa na umeshindikana kupaua bila kusababisha athari za kulowa ukuta wakati wa mvua.

Huyo aliyekuchorea hiyo ramani ya ghorofa hakuliona hilo?
 
Kwa ushauri tu huo upande wa pili mwambie fundi wako anunue conmix achapie huo ukuta hayo maji ya mvua yatakuwa yanapita tu kama kwenye kioo.
 
Ingia Facebook, tafuta JENGA NYUMBA YAKO YA KUANZIA MAISHA ina ramani kadhaa!
 
Back
Top Bottom