Hahahaaa,kumbe ni maneno ya mpiga ramli? Huyo mtu maarufu, mwenye pesa zake na mwenye heshima ni nani?Au ni mwanasiasa?
Uwiiii ngoja nifunge bakuli sina mamilioni mie!
Ana hoteli au mpaka awe na nini ndio awe mfanyabiashara
Hoteli gani hiyo? Hivi unajua nini maana ya hoteli? Au ulimaanisha ule mgahawa na grocery ya MOG pale Kinondoni palipododa?
Nadhani ungemuita Mwanamziki Mkongwe maarufu inge-make sense lakini sio mfanyabiashara maarufu... huo ni ushabiki mandazi sasa.. watanzania wanamjua kama mwanamziki na sio mfanyabiashara.

Iwe hotel, mgahawa au duka still bado ni mfanyabiashara, usitake kujifanya una matatizo ya akili na huelewi nini maana ya biashara
Jide ni mmoja wa watu wanao changia mauaji ya Albino.
Ali kibe Ndo Ali kiba au?if thats so!!! alli kibe nae yumo.
Hakuna,umekosea miss_mbeya
Ndio team jide mlivyo wanga kwelii
Hahahaaa,kumbe ni maneno ya mpiga ramli? Huyo mtu maarufu, mwenye pesa zake na mwenye heshima ni nani?Au ni mwanasiasa?
Uwiiii ngoja nifunge bakuli sina mamilioni mie!
Msanii nguli wa bongo fleva, ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu nchini , judith wambura mbibo maarufu kama lady jaydee, ivi karibuni ametabiriwa kuolewa tena mwaka 2017 na mpiga ramli aliyekwenda nyumbani kwa super star huyo masaki jijini dar es salaam.
Akizungumza kupitia kipindi cha msanii huyo, diary ya lady jaydee, mpiga ramli huyo alienda mbali zaidi kwa kumtabiria mwanaume atakaye muoa staa huyo, kuwa ni maarufu, mtu mwenye pesa zake na mwenye hadhi kwenye jamii, kitendo ambacho msanii huyo alionekana kukifuraia uku akisema kuwa mwaka 2017 sio mbali hali inayoonyesha msanii huyo kukubaliaba na utabiri huo.
Mbali na kumtabiria maisha yake ya kimapenzi, mpiga ramli huyo aliendelea kutiririka kuwa mwaka huu utakuwa mwaka wa mavuno na mafanikio kwa staa huyo, na ni mwaka ambao akitoa album, basi itafanya vizur sana sokoni.
Ngoja nimalizie sehemu ya ramli iliyobakia
Atakuwa uncle King.....tawireeee
Inaweza kuwa kweli si unajua ndo mzee wa kuoa totoz wa .... na do mfanyabiashara maarufu anae oaoa sana
Labda atakuwa ney wa mitego
Ali kibe Ndo Ali kiba au?
Kama ni yeye ,naye anashinda kwa waganga?
Wote mmekoseaaaa.Kweli hii siri tunayo wachache sana! Shauri zenu maana ule wakati wa "Dare to talk openly" umeshaisha.Na wala sisemi miye nisijezeekea lupango!