Jamaniiii pole shoga maana ndio walikua wanairudia ndio maana nimekumbuka ila ile sehemu ya picha imeshaisha bado ya birthday ya Kadinda.
Wema ana nundu kubwa jamani acha tu.Pia kidevu nasikia kakifanyia surgery kukipunguza.
Eheeee nundu ya shingoni na michiliz hadi mgongonii
Acha tu.Mungu anisamehe jamani ila ile ni hatariii. Ms.Lincoln hebu njoo huku labda uliona.Na penny je?
Ilikua episode ya ngapiii
Hata sijui bwana nilikikuta kwa bahati mbaya tu baada ya kukosa kitu cha kuangalia.
Acha tu.Mungu anisamehe jamani ila ile ni hatariii. Ms.Lincoln hebu njoo huku labda uliona.Na penny je?
Nilimuona penny kwenye my shoes, ana umbo baya kwa kweli kama pimbi yani, mfupi halaf mbichwa mkubwa kama mfuko wa cement
Nilimuona penny kwenye my shoes, ana umbo baya kwa kweli kama pimbi yani, mfupi halaf mbichwa mkubwa kama mfuko wa cement
Nilimsikia, si walikuwa wanakata sauti? Penny bhange yule we unamuonaje?
"mpiga ramli" ha ha ha
Wewe nae umepotea pasaka yote hujaonekana sijui ulikua wapi.
mi mbn nipo sana hapa chini ya mbuyu nakula tu ubuyu ha ha ha
Nilimuona penny kwenye my shoes, ana umbo baya kwa kweli kama pimbi yani, mfupi halaf mbichwa mkubwa kama mfuko wa cement
warumi tutakuvua cheo cha MBEA ALIYESHINDIKANA AFRICA MASHARIKI maana naona kinakupwaya sasa.
Yaani humjui mchepuko wa boss wako?
Nilimuona penny kwenye my shoes, ana umbo baya kwa kweli kama pimbi yani, mfupi halaf mbichwa mkubwa kama mfuko wa cement
hebu ninong'onezepo huyo mtu
Mi nishaunga dots tayari. kama ni kweli, yule babu yupo fit sana kifedha Jide lazima atese mjiniMhhhhh shoga tuishie hapa hapa wajanja wataunganisha dots tusijefungwa na advocate maana hata ushahidi wa picha hakuna.