Ramli: Lady Jaydee kuolewa mara ya pili

Ramli: Lady Jaydee kuolewa mara ya pili

Jamaniiii pole shoga maana ndio walikua wanairudia ndio maana nimekumbuka ila ile sehemu ya picha imeshaisha bado ya birthday ya Kadinda.
Wema ana nundu kubwa jamani acha tu.Pia kidevu nasikia kakifanyia surgery kukipunguza.

Eheeee nundu ya shingoni na michiliz hadi mgongonii
 
Nilimuona penny kwenye my shoes, ana umbo baya kwa kweli kama pimbi yani, mfupi halaf mbichwa mkubwa kama mfuko wa cement

Hahahaaa,ule uso ulivyovimba sasa? Halafu kuna maneno aliyokua anasema na kumuapia Dimpoz ulimuelewa? Mimi nilimsoma sana tu sijui alikua kalewa?
 
Hahahaaa,ule uso ulivyovimba sasa? Halafu kuna maneno aliyokua anasema na kumuapia Dimpoz ulimuelewa? Mimi nilimsoma sana tu sijui alikua kalewa?

Nilimsikia, si walikuwa wanakata sauti? Penny bhange yule we unamuonaje?
 
Mhhhhh shoga tuishie hapa hapa wajanja wataunganisha dots tusijefungwa na advocate maana hata ushahidi wa picha hakuna.
Mi nishaunga dots tayari. kama ni kweli, yule babu yupo fit sana kifedha Jide lazima atese mjini
 
Back
Top Bottom