Endeleen hvyo hvyo mkija stuka misimu mitano au sita ya UBINGWATangu lini shabiki wa Simba akaitabilia Yanga mema?
Wewe mikia tulia.MCHA MBUZI Dauda anaendelea kwa kusema
Ili uweze kushindana na Simba unahitaji wachezaji wa aina ya Chama, Miquissone, Fraga, Kapombe, Manula, Mkude.
Unazungumzia Simba ambayo Nyoni, Miraji, Ndemla, wote hao wapo nje! Nimi naona timu ya kuipa Yanga ubingwa au kushindana na Simba, ipo ndani ya Simba.
Yanga ilibidi waibomoe Simba, kuna wachezaji ambao wapo Simba wanaweza kwenda Yanga halafu wapambane na Simba kwa sababu watataka kuthibitisha wao ni bora lakini Simba hawapati nafasi.
Mimi nategemea viongozi wa Yanga watoke wawaambie mashabiki kwamba wanajenga timu kitu ambacho ndio ukweli. Yanga bado haijatengemaa kupigania ubingwa sasa kuwaambia wanasajili timu ya kushinda ubingwa msimu ujao watakuwa hawawatendei haki mashabiki wao.
Mikia ni timu inayohaha kununua ushindi bila aibuKinachonifurahisha kwa mikia kuiamini timu yao inayobebwa na tff 70 na rushwa 30%,muda utaongea kwa vikongwe wale
Tena huu unaitwa ucha mbuziHuu uchambuzi ni sawa na mwanahama wa ccm na shabiki wa magufuli aichambue Chadema na wagombea wake,
unaategemea nini kitatokea katika huo uchambuzi!!!!!
Muda ndio utaamuaA
Nachosema ni kweli mkuu.
Yanga sasa hivi inalienable tu bila mipango. Huwezi kuacha kikosi cha wayu 17 usajili tena 17 wapya uchukue ubingwa ni bahati tu.
πππππkama vikongwe wanaweza kukupiga goli nne wewe huna timu rudi msituni ukadandie miti
Huyo dauda ni mbumbu tu na mashavu yake kama mifuko ya timbalendi kwani timu za taifa huwa wanakaa kambini miezi saba?Tangu lini shabiki wa Simba akaitabilia Yanga mema?
timu ya taifa hucheza na timu ya taifa ambao pia wamekaa wkHuyo dauda ni mbumbu tu na mashavu yake kama mifuko ya timbalendi kwani timu za taifa huwa wanakaa kambini miezi saba?
Goli za mipango,uhakika kama mlihonga wachezaji wetu angalia kiwango cha morrison ile siku na picha linaloendelea sasa hiviVikongwe ulikula 4-1,mtani vipi..?
[emoji23][emoji23] mashavu yake kama mifuko ya timbalendi [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo dauda ni mbumbu tu na mashavu yake kama mifuko ya timbalendi kwani timu za taifa huwa wanakaa kambini miezi saba?
[emoji23][emoji23] mashavu yake kama mifuko ya timbalendi [emoji16][emoji16][emoji16]