Kwani lazima upite page yake?unafki uoKhaa!!! huyu jamaa kila siku huwa nammezea mate ila leo kanifika hapa, yani ukipitia page yake ye kutwa kujisifia tu na kuongea mambo ya kipuuzi..
Jingine sina ila nina lingine... naomba namba yako pm nimekupenda bure.umbea ndo kazi yangu, una jingine?