Rammy: Bongo movie nzima naongoza kwa muonekano

Rammy: Bongo movie nzima naongoza kwa muonekano

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Khaa!!! huyu jamaa kila siku huwa nammezea mate ila leo kanifika hapa, yani ukipitia page yake ye kutwa kujisifia tu na kuongea mambo ya kipuuzi..
 
Attachments

  • 1464717025910.jpg
    1464717025910.jpg
    65.9 KB · Views: 93
wengine hata ukiniuliza kacheza muvi gani siwezi taja maana hayo madubwana wanaita bongo movi sinaga mizuka nayo
 
Vijana wa mikoani wanapata sababu ya kuita wenzao wa dar wanaume wa daslam.

Sio ajabu huyo kijana wanampumulia kisogoni.

Wazazi zaeni tutawasaidia kulea.
 
Khaa!!! huyu jamaa kila siku huwa nammezea mate ila leo kanifika hapa, yani ukipitia page yake ye kutwa kujisifia tu na kuongea mambo ya kipuuzi..
Kwani lazima upite page yake?unafki uo
 
Back
Top Bottom