Ramsey Noah amlilia Kanumba

Ramsey Noah amlilia Kanumba

Pengo la kanumba kuzibika limeshindikana kabisa aibu bongo movie wamekimbilia siasa
Ramsey anajuwa kuigiza kwakweli navutiwa na sauti yake ya Mahaba muda wote
 
Hivi si kuna kipindi ilivuma kuwa kafariki kwa ajari ya gari?
 
Yaani tangu Kanumba age 2012 jamaa ndiyo anakuja 2017 tena kaletwa na ishu zake za kikazi hlf anajifanya anamlilia Kanumba?

Akwende huko ana upendo wowote. Yaani kweli alikosa nauli ya kuja kumzika au kuuhani walau baada ya mazishi?

Huyu kaja kwa ishu zake hlf kapelekwa huko makubulini tu, na wabongo wameipublish hiyo ishu kana kwamba ndiyo iliyomleta
 
Alicheza ile movie ya The guardian Angel yaani hapa ndo nilimpigia saluti
 
Back
Top Bottom