Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
AbujaWapi huko
Mbona uliniacha sasaAbuja
Évelyne jamaa movie the lové anaweza sana sanaRamsey.... Jamaa anabembeleza huyu hata kama mwanamke kaks ataingia laini tu
Sana, anajua kwakweliÉvelyne jamaa movie the lové anaweza sana sana
Ha ha ha si ushampata instagram lakiniMbona uliniacha sasa
Badoo sijui nikafanye kituko gan anioneHa ha ha si ushampata instagram lakini
aliowa kitambo tuHivi kaoa,,nimepekua page yake sioni watoto wala mke,,au ndio anafanya siri