Ramsey Nouah akielezea maisha ya kimasikini aliyopitia

Ramsey Nouah akielezea maisha ya kimasikini aliyopitia

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
10,400
Reaction score
14,339
Ramsey-Nouah-618x325.jpg

"Tuliishi mitaani na kulala kwenye stoo ambazo tuliweza kupata godoro.
Mimi na mama yangu tulijibana pamoja kwenye godoro hilo. Hayo ni majira ambayo mambo yalikuwa mabaya sana kwa mama yangu na hatukuwa na kitu. Ilikuwa ngumu sana kwa kuwa hatukuwa na kwa kuishi. Hatukuwa hata na kikombe cha kunywea maji.
Kipindi hiko hatukuwa na kitu, tulikuwa tunasaidiwa na watu".
Ghana-Movie-Awards-4-Ramsey-Nouah.jpg

ASHINDA NJAA SIKU TATU NA MAMA YAKE

"Kulikuwa na wakati ambao hatukuwa na chakula siku tatu hadi nne.
Hujakula na tumbo linasumbua lakini huna sehemu ya kwenda. Tatizo ni kwamba hatukuwa tukirekodi, ila leo tungeangalia ingekuwa kumbukumbu nzuri sana.
Nilikuwa nikimchukia kila mtu aliyenizingua na kumuuliza Mungu kwanini alikuwa akinifanyia hivyo.
Lakini nafikiri Mungu alijua nahitaji nyakati kama hizo kwa ajili ya maisha yangu ya sasa".
Nukuu ya maneno ya nguli wa filamu nchini Nigeria, Ramsey Nouah akielezea maisha ya kimasikini aliyopitia kabla ya kuwa tajiri.
 
Back
Top Bottom