[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] silencer mpumbafu sanaSilencer alimwambia Sirrrr they're still writing
@khantwe hujasoma na watu wanaotaka kuwa wa kwanza?!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] silencer mpumbafu sana
Hii kitu inaitwa divide and rule!!!2000000 - This is Ranchiddas father's monthly income.
*After Wipe two zero*
20000 - and this is Farhan father's monthly income.
*wipe two zero*
And this is Raju Rastog family income.
Hii kitu inakumbusha mbali na inaumiza mnoo. Wakati tuko shule unakua na friends tofauti tofauti na wote kwako familia zao ziko njema kuliko kwenu na bado unafanya mchezo na shule. Hii principal ilimuhamisha chumba Raju
Mimi mwenyewe kuna wakati nilikuwahi kuwa wa kwanza ila sikuwa natumia mbinu hiyo kuwashusha wengine. Sanasana nikiona mtu anajua nakomaa nae nijue anachojua ili niongezee na changu niendelee kuwa wa kwanza hahaa kuwa wa kwanza kuna raha yake ujue [emoji85][emoji85][emoji85]@khantwe hujasoma na watu wanaotaka kuwa wa kwanza?!!!
Jamaa aliwekeana agano na kinyozi kama dogo akishika namba moja anyolewe ndevu zote
Hahahahaha kama nitakua sijasahau maana ni miaka toka niiangalie
Mi napenda huyo boya alivo maliza ku define machine akakaa halafu akaanza kukenua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] silencer mpumbafu sana
Lilikuwa na sifa jinga lile[emoji23][emoji23][emoji23]Mi napenda huyo boya alivo maliza ku define machine akakaa halafu akaanza kukenua.
Anamtambia rancho kuwa ana mke mzuri gari zuri mshahara mnonoLilikuwa na sifa jinga lile[emoji23][emoji23][emoji23]
Anayemtambia hajui ndio huyohuyo Mr Wangdu anaetamani hadi kumlamba matakle hahaha mambo haya ni vizuri kumheshimu kila mtu jamaniAnamtambia rancho kuwa ana mke mzuri gari zuri mshahara mnono
Kama yule kijana alivyojinyonga daahKuna some parts kwenye ile muvi chozi linakutoka kabisaaaaaaa
Ila aliwakomesha. Kuwapigia simu kujifanya Rancho kumbe anawaita awakumbushie ahadi waliyowekeana, hivi kilitokea nini hadi wakawekeana ile ahadi? Ni baada ya ile speech? NimesahauAnamtambia rancho kuwa ana mke mzuri gari zuri mshahara mnono
Baada ya ile speech waliyoenda kuedit kule library ilimsagia sana mkuu wa chuo mbele ya kiongozi wa serikaliIla aliwakomesha. Kuwapigia simu kujifanya Rancho kumbe anawaita awakumbushie ahadi waliyowekeana, hivi kilitokea nini hadi wakawekeana ile ahadi? Ni baada ya ile speech? Nimesahau
Walichomfanyia kilikuwa kitendo cha kinyama sana aisee hata mimi ningewamaindiNadhani ilikuwa baada ya speech. Usiku wake wakiwa wanakunywa wamejificha juu pembeni ya tank la maji...Silencer aliweka hiyo ahadi akiwa amelewa nadhani.
Alimaindi silencer daahBaada ya ile speech waliyoenda kuedit kule library ilimsagia sana mkuu wa chuo mbele ya kiongozi wa serikali
Jamaa akaitwa ofisini akachezea sana kipigo kwa virus sasa alimaindi mbaya ndio akawafuata juu ya mnara na kuwapa makavu yao na akaandika kabisa tarehe ambayo aliwapa makavu.... Ndio maana kufika kule akawaonyesha ile tarehe
Sio akishika namba moja, alisema either Raju au Farhan mmoja wao hakishinda interview za kazi mzee baba anyolewe!! Raju akapasua interview akiwa amekaa kwenye wheelchair mamaeee, kinyozi alivyo mnoko akamtegeshea akamnyoa hahahahahahaJamaa aliwekeana agano na kinyozi kama dogo akishika namba moja anyolewe ndevu zote
Hahahahaha kama nitakua sijasahau maana ni miaka toka niiangalie
Up down up down up down, hahahhaaa wale jamaa nyokoMi napenda huyo boya alivo maliza ku define machine akakaa halafu akaanza kukenua.