Ranchoddas Shamaldas Chanchad

Ranchoddas Shamaldas Chanchad

2000000 - This is Ranchiddas father's monthly income.

*After Wipe two zero*

20000 - and this is Farhan father's monthly income.

*wipe two zero*

And this is Raju Rastog family income.

Hii kitu inakumbusha mbali na inaumiza mnoo. Wakati tuko shule unakua na friends tofauti tofauti na wote kwako familia zao ziko njema kuliko kwenu na bado unafanya mchezo na shule. Hii principal ilimuhamisha chumba Raju
 
Hii kitu inaitwa divide and rule!!!
 
@khantwe hujasoma na watu wanaotaka kuwa wa kwanza?!!!
Mimi mwenyewe kuna wakati nilikuwahi kuwa wa kwanza ila sikuwa natumia mbinu hiyo kuwashusha wengine. Sanasana nikiona mtu anajua nakomaa nae nijue anachojua ili niongezee na changu niendelee kuwa wa kwanza hahaa kuwa wa kwanza kuna raha yake ujue [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Anamtambia rancho kuwa ana mke mzuri gari zuri mshahara mnono
Ila aliwakomesha. Kuwapigia simu kujifanya Rancho kumbe anawaita awakumbushie ahadi waliyowekeana, hivi kilitokea nini hadi wakawekeana ile ahadi? Ni baada ya ile speech? Nimesahau
 
Ila aliwakomesha. Kuwapigia simu kujifanya Rancho kumbe anawaita awakumbushie ahadi waliyowekeana, hivi kilitokea nini hadi wakawekeana ile ahadi? Ni baada ya ile speech? Nimesahau
Baada ya ile speech waliyoenda kuedit kule library ilimsagia sana mkuu wa chuo mbele ya kiongozi wa serikali
Jamaa akaitwa ofisini akachezea sana kipigo kwa virus sasa alimaindi mbaya ndio akawafuata juu ya mnara na kuwapa makavu yao na akaandika kabisa tarehe ambayo aliwapa makavu.... Ndio maana kufika kule akawaonyesha ile tarehe
 
Nadhani ilikuwa baada ya speech. Usiku wake wakiwa wanakunywa wamejificha juu pembeni ya tank la maji...Silencer aliweka hiyo ahadi akiwa amelewa nadhani.
Walichomfanyia kilikuwa kitendo cha kinyama sana aisee hata mimi ningewamaindi
 
Baada ya ile speech waliyoenda kuedit kule library ilimsagia sana mkuu wa chuo mbele ya kiongozi wa serikali
Jamaa akaitwa ofisini akachezea sana kipigo kwa virus sasa alimaindi mbaya ndio akawafuata juu ya mnara na kuwapa makavu yao na akaandika kabisa tarehe ambayo aliwapa makavu.... Ndio maana kufika kule akawaonyesha ile tarehe
Alimaindi silencer daah
 
Jamaa aliwekeana agano na kinyozi kama dogo akishika namba moja anyolewe ndevu zote
Hahahahaha kama nitakua sijasahau maana ni miaka toka niiangalie
Sio akishika namba moja, alisema either Raju au Farhan mmoja wao hakishinda interview za kazi mzee baba anyolewe!! Raju akapasua interview akiwa amekaa kwenye wheelchair mamaeee, kinyozi alivyo mnoko akamtegeshea akamnyoa hahahahahaha
 
Back
Top Bottom