Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huu wimbo naupenda sana aiseeJoy Lobo's part him taking his own life is so emotional. I listen to the soundtrack every now and then.
Hahahaha jamaa umenikumbusha yule mshenz yule alikuwa anajipendekeza sana kwa Profesa VirusYule mshenzi anakwambia kanuni ya kuwa wa kwanza drasani ni either usome saaana Ku upgrade maksi zako au ufanye kitu cha kupunguza maksi za wenzio , mshenzi ikifika kipindi cha mitihani anatembeza porno magazines kwa every room mmamamameeeeee
2500000 not 200000 mkuu kaangalie vizuri2000000 - This is Ranchiddas father's monthly income.
*After Wipe two zero*
20000 - and this is Farhan father's monthly income.
*wipe two zero*
And this is Raju Rastog family income.
Hii kitu inakumbusha mbali na inaumiza mnoo. Wakati tuko shule unakua na friends tofauti tofauti na wote kwako familia zao ziko njema kuliko kwenu na bado unafanya mchezo na shule. Hii principal ilimuhamisha chumba Raju
Hahahaha MR VIRUS alimaindi aiseeeeSio akishika namba moja, alisema either Raju au Farhan mmoja wao hakishinda interview za kazi mzee baba anyolewe!! Raju akapasua interview akiwa amekaa kwenye wheelchair mamaeee, kinyozi alivyo mnoko akamtegeshea akamnyoa hahahahahaha
Ile sehemu ya mwisho niliipenda sana mkuuVirus anatoa Pen huku Amalia ahahahahha
Wale wajinga walimkomesha, wamevamia harusi ya mwanae, wakaiba pepa, all in all wakamzailisha mwanae DUH
Hahahahahahahaaaa sasa na yeye kusambaza porn magazine katika vyumba vya wenzake kilikua kitendo kizuriWalichomfanyia kilikuwa kitendo cha kinyama sana aisee hata mimi ningewamaindi
mkuu nimejikuta nasoma in Virus voice
Ahahahahhahahamkuu nimejikuta nasoma in Virus voice
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji23][emoji23]Now, the student of the year is Ranchoddas Shamaldas Chanchad...... Ikifatiwa na kale kawimbo, nanana na nana na nanana ahh give me some sunshine, give me some rain, huku Rancho akipanda Taksi, Farhan yupo bize na Nikon yake, Raju kakumbatiana na Mama ake huku analia.....
Now, the student of the year is Ranchoddas Shamaldas Chanchad...... Ikifatiwa na kale kawimbo, nanana na nana na nanana ahh give me some sunshine, give me some rain, huku Rancho akipanda Taksi, Farhan yupo bize na Nikon yake, Raju kakumbatiana na Mama ake huku analia.....
Akamalizia”………….take it,take it……”huku akimnyooshea kumpa ile kalamu Rancho