Ranchoddas Shamaldas Chanchad

Ranchoddas Shamaldas Chanchad

Yule mshenzi anakwambia kanuni ya kuwa wa kwanza drasani ni either usome saaana Ku upgrade maksi zako au ufanye kitu cha kupunguza maksi za wenzio , mshenzi ikifika kipindi cha mitihani anatembeza porno magazines kwa every room mmamamameeeeee
Hahahaha jamaa umenikumbusha yule mshenz yule alikuwa anajipendekeza sana kwa Profesa Virus
 
2000000 - This is Ranchiddas father's monthly income.

*After Wipe two zero*

20000 - and this is Farhan father's monthly income.

*wipe two zero*

And this is Raju Rastog family income.

Hii kitu inakumbusha mbali na inaumiza mnoo. Wakati tuko shule unakua na friends tofauti tofauti na wote kwako familia zao ziko njema kuliko kwenu na bado unafanya mchezo na shule. Hii principal ilimuhamisha chumba Raju
2500000 not 200000 mkuu kaangalie vizuri
 
Sio akishika namba moja, alisema either Raju au Farhan mmoja wao hakishinda interview za kazi mzee baba anyolewe!! Raju akapasua interview akiwa amekaa kwenye wheelchair mamaeee, kinyozi alivyo mnoko akamtegeshea akamnyoa hahahahahaha
Hahahaha MR VIRUS alimaindi aiseeee
 
Kipindi cha interview Raju rastogi anapoelezea maisha yake ya skuli na reason ya yeye kuanguka katika mitihani alafu anazungumza akiwa sio cull
 
Now, the student of the year is Ranchoddas Shamaldas Chanchad...... Ikifatiwa na kale kawimbo, nanana na nana na nanana ahh give me some sunshine, give me some rain, huku Rancho akipanda Taksi, Farhan yupo bize na Nikon yake, Raju kakumbatiana na Mama ake huku analia.....
 
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Now, the student of the year is Ranchoddas Shamaldas Chanchad...... Ikifatiwa na kale kawimbo, nanana na nana na nanana ahh give me some sunshine, give me some rain, huku Rancho akipanda Taksi, Farhan yupo bize na Nikon yake, Raju kakumbatiana na Mama ake huku analia.....

Ranchoddas Shamaldas Chanchad,Raju Rastogi,Farhan Quresh na yule jamaa wa kukariri Chatur (silencer),Pia na Prof Viru "Virus" Sahastrabuddhe
 
Back
Top Bottom