ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Tatizo la silencer akili hana ila ana uwezo mkubwa wa kukariri.... Ile barua angesoma na kuielewa wala asingemuharibia mkuu wake wa chuo lenyewe kwa kupenda sifa sasa kila mstari anaosoma akimaliza watu wanacheka na lenyewe linaona yes nimepatia kwelikweliAlimaindi silencer daah