Random Sex

Huo ndio ukweli tunaoukataa
Sometimes watu wanatembea na laana na mambo machafu ukikutana nao ni mikosi na mabalaa had unaomba Pooh
Ndo maana tuliambiwa tusiikaribie zinaa
Ni kweli zinaa ina madhara makubwa hapa duniani na badae huko Mbinguni.
 
mkuu usicheke, nikukuonesha before yake(miaka ya 2003) na after yake aisee, alaaniwe aliyeleta hili gonjwa

anko alikuwa mzee wa kuloweka, nailoni kwake mwiko
2001-2003 ilikuwa peak years za ngwengwe kabla ya graph yake kuanza kushuka taratibu. Nashukuru miaka hio nilikuwa young pineus maana kama balehe ingenikutia humo basi hii ingekuwa imeendaπŸ˜‚!!!

Nimeanza kula mbwasha from 2007 and ahead. Japo kwa uchache sana maana nilikuwa naogopa chicks.
 
Huo ndio ukweli tunaoukataa
Sometimes watu wanatembea na laana na mambo machafu ukikutana nao ni mikosi na mabalaa had unaomba Pooh

Ndo maana tuliambiwa tusiikaribie zinaa
Zinaa ni mlango wa mabalaa na mikosi japo wengi wanaona fashion. Kuna watu wana laana na magonjwa na mikosi tunayavagaa tu😁! Ukishtuka ushajipachika kwenye Kidatu Power House.
 
mbaazi zimesaidia sana, zamani, unakufa na pneumonia na 1kg ya mwili sandukuni, leo hii ni vifo vya ghafla ukiwa na 65kg zako
LA75 oyeeee
 
mbaazi zimesaidia sana, zamani, unakufa na pneumonia na 1kg ya mwili sandukuni, leo hii ni vifo vya ghafla ukiwa na 65kg zako
LA75 oyeeee
Oya hali ilikuwa tete, vijana waliokuwa balehe kwa miaka ile ya kuanzia 1996 kuja mpaka 2004 ilikuwa ni balaa.
 
Fafanua kdgo hapo mkuu
Kama mikosi ya umasikini au balaa vinaweza kuambukizwa kwa kushiriki ngono na watu wenye mikosi basi hata utajiri na mafanikio vinaweza kuambukizwa kwa kushiriki ngono na watu wenye utajiri, mafanikio na maisha bora.
 
Katika hilo la umaskini na utajiri sifahamu uwezekano kama upo ama la, labda tuzidi kufanya tafiti na kujifunza vyema juu ya mada hii.
 
Kuhusu gizani au kwenye mwanga ni maamuzi tu ya wahusika, kuhusu hiyo milio pia ni maamuzi ya mhusika. Bado haiondoi ukweli wa kwamba Sex is sacred act
Tatizo ni hiyo dini ya muarabu uliyomezeshwa.

Yaani mungu anafanya ngono iwe tendo takatifu, halafu anakuumba kwa namna ambayo unakuwa unalitamani ovyo ovyo

Akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…