Ranga Chivaviro yeye ni Yanga tu

Mbona Musonda humtaji? Mzize bado anahitaji muda, akivumiliwa baadae unaweza shangaa akatubeba kama alivyokuwa Simon Msuva.
Man city pale Haaland kamuacha mbali Alvarez.
 
Mbona Musonda humtaji? Mzize bado anahitaji muda, akivumiliwa baadae unaweza shangaa akatubeba kama alivyokuwa Simon Msuva.
Man city pale Haaland kamuacha mbali Alvarez.
Musonda sio natural striker ndio maana mechi nyingi anatokea pembeni, na ni mzuri akitokea pembeni, Mzize anahitaji muda ndiyo so huwezi kuwa timu ya kugombania mataji ya Afrika alafu una wachezaji wanaohitaji muda, utakuwa kichekesho kama Arsenal, wakati mzize anazidi kupata uzoefu ni vzr kuwa na wanaume wa shoka, yn toa mtu unaingiza mtu.
 
Bora uyu kuliko ostadh mzize, yule ni bure kabsa tuwape simba bure kama zawadi
 
Sawa kila mmoja na mtazamo wake, mimi kwa upande wangu nimeona hivyo.
 
Hata kambole mlimsifia hvyo hvyo mwisho mkamfanya msekule pale avic town
 
Kutokana na mila pamoja na desturi ya kwetu huyo mchezaji hafai kucheza Tanzania, KATLEGO ni mchezaji mzuri lakini kashajitangaza kuwa ni upinde
 
Kutokana na mila pamoja na desturi ya kwetu huyo mchezaji hafai kucheza Tanzania, KATLEGO ni mchezaji mzuri lakini kashajitangaza kuwa ni upinde
Duuuuh.....ya kweli hayo??
 
Huyu jamaa ni mshambuliaji aina ya Nicklas Bendtner wa kawaida sana mtakuja kujuta ni mzito mno hata hizo goli sijui alifikishaje huko confederation!!!
 
Ahahahahahaaaa, najua umeitaja SImba kuwauza akina Kalpana et el
 
Hahaha ha wewe jama unajua kujivuna khaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…